heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,752
- 8,693
Kwa nini una - Dodge????Sasa atafanyaje wkt mazuzu wana hela zinawawasha mkuu.
dodge
Sasa mkuu business za inspire wako Ontario hazilipi ununue hata tecno..!!? Maana hiyo tabia ya simu yako ni za itel
You nailed itWatanzania wanatia huruma.
Umasikini mpaka kwenye ubongo.
Kama unatumia internet kufuatilia udaku, mwenzako anafuatilia kwenye mambo ya msingi.
Fainali uzeeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaamwingine huyu ....kama unapata profits izo chart c ukaenazo mkuu ? just enjoy your money lasivyo una malengo ya ontario na ww
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa mkuu business za inspire wako Ontario hazilipi ununue hata tecno..!!? Maana hiyo tabia ya simu yako ni za itel
Kuna mmoja huko IG anajiita Sir.Beverin sijui brevin na mwenzake anajiita fran.ceo hawa machalii kila siku wanaondoka na kijiji, wana wafuasi wao kabisa kama bwama Ontario.
1)Ontario ndio binadamu pekee niliyemuwashia notification IG.
2)Ontario ndio kiumbe pekee nikiambia ni-unfollow wote nakubakisha mmoja atabaki yeye.
Ifahamike mpaka nikuwekee mtu notification ujue kuna kitu Extra-Ordiinary.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh1)Ontario ndio binadamu pekee niliyemuwashia notification IG.
2)Ontario ndio kiumbe pekee nikiambia ni-unfollow wote nakubakisha mmoja atabaki yeye.
Ifahamike mpaka nikuwekee mtu notification ujue kuna kitu Extra-Ordiinary.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachokeleka wewe nini unataka kilamtu aishi kwa ubongo wako wewe.Haya mambo ukiingia unakua kama mfuasi wa kibwetere,sijui wanapewaga nini.
Naishiaga kuwaona huko Mitandaoni na hashtag zao za kitajiri tajiri.
#MONEY MAKER
#CASH IS KING
#CASH MONEY
#BEST BRAIN MONEY FLOWS
#CRIBS #LAMBORGHIN #MASERATI #BIMMER
Nawacheki tu nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
dodge
Wajinga ndo mliwao. Eti forex sjui globa alliance sjui forever ni upupu na michosho tu.'Ordiinary'?
Maana yake nini?
dodge
'Unachokeleka'Unachokeleka wewe nini unataka kilamtu aishi kwa ubongo wako wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio mimi nacheza hio Forex sio mzee baba?Wajinga ndo mliwao. Eti forex sjui globa alliance sjui forever ni upupu na michosho tu.
Sent using Jamii Forums mobile app