Utata juu ya mwanaJF Ontario

Utata juu ya mwanaJF Ontario

Dah mzee mna kazi kweli kupinga jitihada za "THE TANZANIAN GODFATHER OF FOREX" alifanya forex iwe habari ya mujini miaka ya 2017 na vijana wengi kuanza kupiga msuli wa forex ambao nao wame insoire waengine kujaribu huku forex, Hata kama kuna tetesi kuna vipesa alipiga kihalali na broker mimi siuiti wizi ila tu ni chuki ya wabongo, Hapa ufe ufufuke huo ndio uhalisia.

Mkuu nimesema wapi yeye ni mungu, ama kweli hii kitu umeichukulia personal na nimekupiga muhuru wa "Mjing" maana siku zote akili kubwa wanajadili ideas na events ila akili ndogo wanajadili watu.

Tumshukuru tu huyu mwenzetu kaenda mbali zaidi ya hapo kasoma vitu ambavyo huwezi vitu anavyotumegea huwezi kufundishwa darasani kama negotiation, networking, ujasiriamali practical, kukabiliana na uhalisia, kutafuta pesa nje ya taaluma. Elimu ya darasani si kila kitu na wengi tunayo kwenye magamba ya degrees tuliyoishia kukariri what is xxx, functions of xxx, advantages of xxx, briefly discuss xxx, hivi vitu watu wamehitimu na vyeti vizuri ila mitaa inawachakaza mno kwasababu ya kukosa madini anayotoa mshkaji maana nina uhakika hata wewe hujasoma hata the magic of big thinking na kama unabisha kataa nikugonge swali

Aalafu hasaidii mtu 100% kuondokana na umasikini mkuu, Tuchukulie wewe ni punda naweza nikakuchapa bakora hadi mtoni ila kunywa maji ni jitihada zako wewe, Kijana anatoa madini ila implementation yenye effeciency na effectiveness ni juu yako wewe.

View attachment 1424017

Kilimimo hakiongelewi kinatendwa, na elimu ya kilimo wengi tu wanayo yeye kajikita zaidi kwenye kutoa information adimu ambayo mimi na wewe hatuwezi kuipata hata kwa profesa aliyekariri vitini vyote vya physics. na cha ajabu kuna profesa aliiba nondo za huyu dogo akaiweka kwenye page yake akaonekana kichwa kumbe mwizi tu

Kama unahisi rahisi jaribu wewe na hako kakichwa kako kalikojaa chuki sijui utatoa madini yapi

Think beyond, Dont hate get inspired nigga. Dogo ahsapiga hatua yupo forbes huko wewe unapambana kumshusha, fika huko kwanza ndio uanze kuwa na mawazo hayo. Eti "kusaidia kuondoa umaskini" wakujisaida ni wewe hapo yeye anakutoa ukungu tu msaada wake 20% tu 80 % yako, mnapenda sana kitonga wabongo.
nyie vishabiki vya Ontario mna kazi kweli
 
Nilimfahamu kijana machachari Ontario way back 2017 jf paka Leo kupitia uzi wa forex nilimfuatilia sana nikamfollow Instagram yake sure aliniinspire vibaya sababu nililuwa na akili kama yake nilipenda ujasiriamali japo serekasi ni nyingi akaja na story ya kusisimua akijinasibu angefanya mapinduzi na vijana wawe financial Independent kwel akapania akaja na TMT kwa mbwembwe pale Jangid Mimi ni mtu wa kusoma gap hahahah nikasema wacha nione wanafunzi wake watatokaje na matokeo then nami nijongee.

E bana mambo yakaanza utam nikajipa mda kidogo gafla mambo yakabadilika TMT ikaanza kuyumba na kupotea kabisa malalamiko yakawa mengi kila MTU na lake Mara hvi Mara vile nikajipenyeza kwa wanafunzi wake kujua nini kinaendelea wakasema wanapiga mpunga nikawaomba wanipigishe nikiwapima kwamba Niko mtupu kabisa kwa forex hahahah wakasema wanapiga hela balaa ohhhh wanajenga na blabla kibao wakanipa appointment na Kunitaka nipay dola 500+ .most of them(nimegeneralize maelezo ya hawa machali that's why nimetumia wa) nikiwazoom hawaendani na kuingiza pesa ndefu anyway tufupishe nikawaacha na habar ya forex niliweka pending huku nakula msuli taratibu sitaki shida na MTU soon naelekea kuwa vizuri nimepiga msuli since 2018 hahahhaha.

Yule yule kijana Ontario akaja kusema about forex kwamba hawez kupiga chaki kufundisha forex wakati alise.a before hakuna cha kumzuia hapa kuna utata kweli RELAX hivi sasa SIR JEFF DENISS kaja na PESASHIP akijinasibu kuhakikisha anasaidia vijana wengi kujikwamua na yeye kuwabeba vijana kumi watengeneze 100 million by December 2020 huku akilipisha tsh.40,000 samahani kama nitakuwa nimekosea au imepanda au imeshuka vijana wengi wakijinasibu kupata mkombozi.

Utata ulipo why serekasi mara forex(TMT) Mara pesaship au forex IPO ndani ya pesaship yajayo yanafurahisha kweli au ni janja za hapa mjini,
AU Ontario ana mipango hafifu zaidi anashindwa kuimplement anachokusudia au kuna figisu juu yake au anafanya uhuni maswali ni mengi mana naona kawa hovyo siku hizi to be honest nilimkubali sanaaaa naona kama kajawa na kiburi japo ni nature yake na kuringisha mafanikio yake kwa wale wanaomfuatilia Instagram yake wananipatapata nachoongelea au ni mkurupukaji.

All in all ni mpambanaji ni mfano wa kuigwa hahahahah anatumia maneno makali ili awape hasira watu ya kupambana japo wengine wanakuwa wanyonge ontario huende yupo huku na anasoma kwa I'd nyingine nimewaza tu.

N.b vijana pambaneni msitegemee mshikwe mkono ukipewa direction vimba kivyako by any means asp. Wasomi hawa wamekuwa hovyo siku hz bora wasio na shule kupigwa ni wao tu na majority waalimu Mara deci,Aim,forever, hawa wa SAA million 5 (Q net) n.k Fikirieni Bandugu Tz watu wanageuzana fursa na mitaji
Nakumbuka sana mambo ile siku nilikuwa nalinda ile floor si unajua tena kazi ya Ukolokoloni mara paah Manjagu wakaingia wakahoji hoji watu pale Nyie mkawa wakali kinoma lakini manjagu wakawabebau Wale wasauz na Anto mpaka tusipopajua mara Anto na wasauz wakarudi wakaendelea kuchangisha mkwanja elfu 60 .Wakapiga mpunga na wengine wakashawishiwa watrade. Haaaaaaaaa Mimi nikiwa karibu na mlango wa Choo nikawaambia wanakuja chooni Kuwa Mnaibiwa pesa haidownlodiwa wakaanza kunicheka wewe mbumbumbu hujui kitu. Leo eti wanalia wamepigwa mkwaja mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mzee mna kazi kweli kupinga jitihada za "THE TANZANIAN GODFATHER OF FOREX" alifanya forex iwe habari ya mujini miaka ya 2017 na vijana wengi kuanza kupiga msuli wa forex ambao nao wame insoire waengine kujaribu huku forex, Hata kama kuna tetesi kuna vipesa alipiga kihalali na broker mimi siuiti wizi ila tu ni chuki ya wabongo, Hapa ufe ufufuke huo ndio uhalisia.

Mkuu nimesema wapi yeye ni mungu, ama kweli hii kitu umeichukulia personal na nimekupiga muhuru wa "Mjing" maana siku zote akili kubwa wanajadili ideas na events ila akili ndogo wanajadili watu.

Tumshukuru tu huyu mwenzetu kaenda mbali zaidi ya hapo kasoma vitu ambavyo huwezi vitu anavyotumegea huwezi kufundishwa darasani kama negotiation, networking, ujasiriamali practical, kukabiliana na uhalisia, kutafuta pesa nje ya taaluma. Elimu ya darasani si kila kitu na wengi tunayo kwenye magamba ya degrees tuliyoishia kukariri what is xxx, functions of xxx, advantages of xxx, briefly discuss xxx, hivi vitu watu wamehitimu na vyeti vizuri ila mitaa inawachakaza mno kwasababu ya kukosa madini anayotoa mshkaji maana nina uhakika hata wewe hujasoma hata the magic of big thinking na kama unabisha kataa nikugonge swali

Aalafu hasaidii mtu 100% kuondokana na umasikini mkuu, Tuchukulie wewe ni punda naweza nikakuchapa bakora hadi mtoni ila kunywa maji ni jitihada zako wewe, Kijana anatoa madini ila implementation yenye effeciency na effectiveness ni juu yako wewe.

View attachment 1424017

Kilimimo hakiongelewi kinatendwa, na elimu ya kilimo wengi tu wanayo yeye kajikita zaidi kwenye kutoa information adimu ambayo mimi na wewe hatuwezi kuipata hata kwa profesa aliyekariri vitini vyote vya physics. na cha ajabu kuna profesa aliiba nondo za huyu dogo akaiweka kwenye page yake akaonekana kichwa kumbe mwizi tu 🤣 🤣

Kama unahisi rahisi jaribu wewe na hako kakichwa kako kalikojaa chuki sijui utatoa madini yapi

Think beyond, Dont hate get inspired nigga. Dogo ahsapiga hatua yupo forbes huko wewe unapambana kumshusha, fika huko kwanza ndio uanze kuwa na mawazo hayo. Eti "kusaidia kuondoa umaskini" wakujisaida ni wewe hapo yeye anakutoa ukungu tu msaada wake 20% tu 80 % yako, mnapenda sana kitonga wabongo.

hii jf mkuu ...hakuna ktu nafahamu juu yako na ww unafahamu juu yangu ...dont b quick to judge ..

anyway seems your a die hard fan
keep up with the good work n have a nice day

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
WATCH THESE 3 guys i hope utajifunza vitu vizuri na vikubwa kwenye maisha yako
-Vusi thembekwayo
-Grant cardone
-Robert kiyosaki

they teach ...n not hyping
content kubwa ipo youtube
pia kama ni msomaj wana vitabu vyao
thank me later

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom