Dah mzee mna kazi kweli kupinga jitihada za "THE TANZANIAN GODFATHER OF FOREX" alifanya forex iwe habari ya mujini miaka ya 2017 na vijana wengi kuanza kupiga msuli wa forex ambao nao wame insoire waengine kujaribu huku forex, Hata kama kuna tetesi kuna vipesa alipiga
kihalali na broker mimi siuiti wizi ila tu ni chuki ya wabongo, Hapa ufe ufufuke huo ndio uhalisia.
Mkuu nimesema wapi yeye ni mungu, ama kweli hii kitu umeichukulia personal na nimekupiga muhuru wa "Mjing" maana siku zote akili kubwa wanajadili ideas na events ila akili ndogo wanajadili watu.
Tumshukuru tu huyu mwenzetu kaenda mbali zaidi ya hapo kasoma vitu ambavyo huwezi vitu anavyotumegea huwezi kufundishwa darasani kama negotiation, networking, ujasiriamali practical, kukabiliana na uhalisia, kutafuta pesa nje ya taaluma. Elimu ya darasani si kila kitu na wengi tunayo kwenye magamba ya degrees tuliyoishia kukariri what is xxx, functions of xxx, advantages of xxx, briefly discuss xxx, hivi vitu watu wamehitimu na vyeti vizuri ila mitaa inawachakaza mno kwasababu ya kukosa madini anayotoa mshkaji maana nina uhakika hata wewe hujasoma hata the magic of big thinking na kama unabisha kataa nikugonge swali
Aalafu hasaidii mtu 100% kuondokana na umasikini mkuu, Tuchukulie wewe ni punda naweza nikakuchapa bakora hadi mtoni ila kunywa maji ni jitihada zako wewe, Kijana anatoa madini ila implementation yenye effeciency na effectiveness ni juu yako wewe.
View attachment 1424017
Kilimimo hakiongelewi kinatendwa, na elimu ya kilimo wengi tu wanayo yeye kajikita zaidi kwenye kutoa information adimu ambayo mimi na wewe hatuwezi kuipata hata kwa profesa aliyekariri vitini vyote vya physics. na cha ajabu kuna profesa aliiba nondo za huyu dogo akaiweka kwenye page yake akaonekana kichwa kumbe mwizi tu
Kama unahisi rahisi jaribu wewe na hako kakichwa kako kalikojaa chuki sijui utatoa madini yapi
Think beyond, Dont hate get inspired nigga. Dogo ahsapiga hatua yupo forbes huko wewe unapambana kumshusha, fika huko kwanza ndio uanze kuwa na mawazo hayo. Eti "kusaidia kuondoa umaskini" wakujisaida ni wewe hapo yeye anakutoa ukungu tu msaada wake 20% tu 80 % yako, mnapenda sana kitonga wabongo.