Mtoa unajua njisi ya kununua hisa ?
Unajua njisi ya kuinvest kwenye bitcoin?
Dunia imebadilika sasa hivi mtu hutakiwi kusave tena ni muda kuwekeza utawekezaje kama hujui njisi ya kununua hisa
Mimi nikimfatilia Ontario nabeba elimu ya kuwekeza njisi ya kuinvest
Kuelewa njisi ya kununua hisa
Unaweza kununua hisa leo kwa $1500 baada ya miakaukapata $ 15000 hii pesa si nyingi Mkuu ukichomoa $ 12000 alafu akanunua hisa tena za $ 3000 baada ya miaka mitano tena ukivuna $ 20000 ujatoboa life tu Mkuu
Sio jamaa anafundisha tu forex hata kununua hisa ni elimu nzuri sana matajiri wote wananunua hisa hii ndio elimu bora
Ila wabongo wanasema Ontario tapeli tu
Sent using
Jamii Forums mobile app