Utata juu ya mwanaJF Ontario

Mr JM

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
266
459
Nilimfahamu kijana machachari Ontario way back 2017 jf paka Leo kupitia uzi wa forex nilimfuatilia sana nikamfollow Instagram yake sure aliniinspire vibaya sababu nililuwa na akili kama yake nilipenda ujasiriamali japo serekasi ni nyingi akaja na story ya kusisimua akijinasibu angefanya mapinduzi na vijana wawe financial Independent kwel akapania akaja na TMT kwa mbwembwe pale Jangid Mimi ni mtu wa kusoma gap hahahah nikasema wacha nione wanafunzi wake watatokaje na matokeo then nami nijongee.

E bana mambo yakaanza utam nikajipa mda kidogo gafla mambo yakabadilika TMT ikaanza kuyumba na kupotea kabisa malalamiko yakawa mengi kila MTU na lake Mara hvi Mara vile nikajipenyeza kwa wanafunzi wake kujua nini kinaendelea wakasema wanapiga mpunga nikawaomba wanipigishe nikiwapima kwamba Niko mtupu kabisa kwa forex hahahah wakasema wanapiga hela balaa ohhhh wanajenga na blabla kibao wakanipa appointment na Kunitaka nipay dola 500+ .most of them(nimegeneralize maelezo ya hawa machali that's why nimetumia wa) nikiwazoom hawaendani na kuingiza pesa ndefu anyway tufupishe nikawaacha na habar ya forex niliweka pending huku nakula msuli taratibu sitaki shida na MTU soon naelekea kuwa vizuri nimepiga msuli since 2018 hahahhaha.

Yule yule kijana Ontario akaja kusema about forex kwamba hawez kupiga chaki kufundisha forex wakati alise.a before hakuna cha kumzuia hapa kuna utata kweli RELAX hivi sasa SIR JEFF DENISS kaja na PESASHIP akijinasibu kuhakikisha anasaidia vijana wengi kujikwamua na yeye kuwabeba vijana kumi watengeneze 100 million by December 2020 huku akilipisha tsh.40,000 samahani kama nitakuwa nimekosea au imepanda au imeshuka vijana wengi wakijinasibu kupata mkombozi.

Utata ulipo why serekasi mara forex(TMT) Mara pesaship au forex IPO ndani ya pesaship yajayo yanafurahisha kweli au ni janja za hapa mjini,
AU Ontario ana mipango hafifu zaidi anashindwa kuimplement anachokusudia au kuna figisu juu yake au anafanya uhuni maswali ni mengi mana naona kawa hovyo siku hizi to be honest nilimkubali sanaaaa naona kama kajawa na kiburi japo ni nature yake na kuringisha mafanikio yake kwa wale wanaomfuatilia Instagram yake wananipatapata nachoongelea au ni mkurupukaji.

All in all ni mpambanaji ni mfano wa kuigwa hahahahah anatumia maneno makali ili awape hasira watu ya kupambana japo wengine wanakuwa wanyonge ontario huende yupo huku na anasoma kwa I'd nyingine nimewaza tu.

N.b vijana pambaneni msitegemee mshikwe mkono ukipewa direction vimba kivyako by any means asp. Wasomi hawa wamekuwa hovyo siku hz bora wasio na shule kupigwa ni wao tu na majority waalimu Mara deci,Aim,forever, hawa wa SAA million 5 (Q net) n.k Fikirieni Bandugu Tz watu wanageuzana fursa na mitaji
 
1)Ontario ndio binadamu pekee niliyemuwashia notification IG.

2)Ontario ndio kiumbe pekee nikiambia ni-unfollow wote nakubakisha mmoja atabaki yeye.

Ifahamike mpaka nikuwekee mtu notification ujue kuna kitu Extra-Ordiinary.



Sent using Jamii Forums mobile app
Niko kama wewe nafollow watu na page chache sana akiwemo Ontario ana kitu kwel lakini si kwakuwahadaa vijana huku kashindwa TMT sasa yuko na pesaship mjomba huna cha kuniuliza kama kuna ujanja wa mjini hapa
 
Back
Top Bottom