Utata juu ya mwanaJF Ontario

Huo ndio ujinga wa wabongo... Unalipa just for kuenda kuambiwa kuwa unaweza kuwa tajiri
...
The greatest human weakness lies in their psychology.

Unaambiwa wewe ni kamanda, kaza. Mjeshi halii njaa. Jeshi si lelemama. Huo ndio uanaume. Jembeeeeee. Lengo ukubali kuishi kwenye hema la mabati porini wakati anaekwambia hivyo ANAKULA BATA IKULU.

Hivi vikauli vya Nasaidia , Nasaidia huku UNAPIGWA vinadumaza sana.
 
Nilimfahamu kijana machachari Ontario way back 2017 jf paka Leo kupitia uzi wa forex nilimfuatilia sana nikamfollow Instagram yake sure aliniinspire vibaya sababu nililuwa na akili kama yake nilipenda ujasiriamali japo serekasi ni nyingi akaja na story ya kusisimua akijinasibu angefanya mapinduzi na vijana wawe financial Independent kwel akapania akaja na TMT kwa mbwembwe pale Jangid Mimi ni mtu wa kusoma gap hahahah nikasema wacha nione wanafunzi wake watatokaje na matokeo then nami nijongee.

E bana mambo yakaanza utam nikajipa mda kidogo gafla mambo yakabadilika TMT ikaanza kuyumba na kupotea kabisa malalamiko yakawa mengi kila MTU na lake Mara hvi Mara vile nikajipenyeza kwa wanafunzi wake kujua nini kinaendelea wakasema wanapiga mpunga nikawaomba wanipigishe nikiwapima kwamba Niko mtupu kabisa kwa forex hahahah wakasema wanapiga hela balaa ohhhh wanajenga na blabla kibao wakanipa appointment na Kunitaka nipay dola 500+ .most of them(nimegeneralize maelezo ya hawa machali that's why nimetumia wa) nikiwazoom hawaendani na kuingiza pesa ndefu anyway tufupishe nikawaacha na habar ya forex niliweka pending huku nakula msuli taratibu sitaki shida na MTU soon naelekea kuwa vizuri nimepiga msuli since 2018 hahahhaha.

Yule yule kijana Ontario akaja kusema about forex kwamba hawez kupiga chaki kufundisha forex wakati alise.a before hakuna cha kumzuia hapa kuna utata kweli RELAX hivi sasa SIR JEFF DENISS kaja na PESASHIP akijinasibu kuhakikisha anasaidia vijana wengi kujikwamua na yeye kuwabeba vijana kumi watengeneze 100 million by December 2020 huku akilipisha tsh.40,000 samahani kama nitakuwa nimekosea au imepanda au imeshuka vijana wengi wakijinasibu kupata mkombozi.

Utata ulipo why serekasi mara forex(TMT) Mara pesaship au forex IPO ndani ya pesaship yajayo yanafurahisha kweli au ni janja za hapa mjini,
AU Ontario ana mipango hafifu zaidi anashindwa kuimplement anachokusudia au kuna figisu juu yake au anafanya uhuni maswali ni mengi mana naona kawa hovyo siku hizi to be honest nilimkubali sanaaaa naona kama kajawa na kiburi japo ni nature yake na kuringisha mafanikio yake kwa wale wanaomfuatilia Instagram yake wananipatapata nachoongelea au ni mkurupukaji.

All in all ni mpambanaji ni mfano wa kuigwa hahahahah anatumia maneno makali ili awape hasira watu ya kupambana japo wengine wanakuwa wanyonge ontario huende yupo huku na anasoma kwa I'd nyingine nimewaza tu.

N.b vijana pambaneni msitegemee mshikwe mkono ukipewa direction vimba kivyako by any means asp. Wasomi hawa wamekuwa hovyo siku hz bora wasio na shule kupigwa ni wao tu na majority waalimu Mara deci,Aim,forever, hawa wa SAA million 5 (Q net) n.k Fikirieni Bandugu Tz watu wanageuzana fursa na mitaji
Nyie ndio mnaofua Pesa. TRA kujeni huku wanatangaza watu wajiunge kufua notii.
 
wabongo ifike muda tupone ugonjwa wa kutaka inspiration kama bia ...ww mwaka watatu sasa unataka kuwa inspired tu utafanya lini??? ...internet unayo ..youtube ..google ...hapa jf ...insta ..na kwingineko info bure bure ..,, cha msingi ni kuamua kufanya unachotaka kufanya upambane ufanikiwe bila kusahau research b4 ila haya ma motivation mnayoyakimbilia hayawasaidii ...miujiza hamna jamani fanya kaz ule matunda lasivyo hizi kitonga ztawasubirisha sanaa.... na tabia nyingne mbaya ni kufanya kaz leo kutegemea matokeo makuuubwa kesho Hapana ...piga mzigo leo mafanikio yapo mwez ujao muhmu uvumilivu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
The greatest human weakness lies in their psychology.

Unaambiwa wewe ni kamanda, kaza. Mjeshi halii njaa. Jeshi si lelemama. Huo ndio uanaume. Jembeeeeee. Lengo ukubali kuishi kwenye hema la mabati porini wakati anaekwambia hivyo ANAKULA BATA IKULU.

Hivi vikauli vya Nasaidia , Nasaidia huku UNAPIGWA vinadumaza sana.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kajamaa noma sana kalisemaga yale mambo yake ya Forex kule Jangid hata Maxence Melo alikua anajua kinachoendelea lkn Maxence akaja humu akakanusha kwamba huo ujinga wenu mimi sihusiki nao kwa chochote kile na msinihusishe nao,kajamaa kakapaniki ooh kama vipi naomba na a/c yangu humu JF ifutwe bla bla bla sijui iliishia wapi.

dodge
Ontario fundi sana, aliwakusanya mpaka wabunge kudadekiii. Nilibaki nacheka tu maana mwisho wake niliujua..

Ila dogo ni mpambanaji ingawa anapambana kwa njia zisizo sahihi. Daaah aliwadanganyaga watu humu alitengeneza million 29 ndani ya mwezi kwa trekta la kukodisha, kuna jamaa yupo Mvomero huko tena yeye ni mmiliki kabisa wa trekta lakini anashangaa hajawahi kupiga pesa yote hiyo kwa kuwalimia watu mashamba ndani ya mwaka mzima 😂😂😂😂 jamaa alipanic sana akahisi kama anarogwa hivi kumbe dogo alikuwa na mission zake ana haunt..

Alivyowaliza humu ndani nikasema safi sana mdogo wangu.. There is no shortcut in life aisee..
 
Tukiacha na mambo mengne dogo Ontario ubongo wake upo active.... Dogo ni fighter kulingana na akli yake inavofanya kazi...
Hata wazungu wamendelea Kwa sababu ya ujinga wa Mwafrica,Asia etc , sio lazima ukomae vigimbi ndo uonekanae unafanya kazi wakat kuna njia unaweza work smart na ukamake 💰 , Ontario kaona fursa na kaitumia lakn unakuta mtu anahenyeshwa na kazi za Maghufuli au kampuni/ shirika /taasisi na salary yake ni 1000k or down lakn anamponda Ontario ....
Ukiona mtu kafanikiwa ujue kuna boya kanyonywa , maisha ndivyo yalivyo, maisha yenyewe mafupi haya ukifikisha miaka 40 tayar ushaitwa Mzee....

Istoshe wanaomuita tapeli si wamkamate wamshitak mbna daily dogo anaranda mjin hapa openly
 
Kuna mmoja huko IG anajiita Sir.Beverin sijui brevin na mwenzake anajiita fran.ceo hawa machalii kila siku wanaondoka na kijiji, wana wafuasi wao kabisa kama bwama Ontario.
 
Kajamaa noma sana kalisemaga yale mambo yake ya Forex kule Jangid hata Maxence Melo alikua anajua kinachoendelea lkn Maxence akaja humu akakanusha kwamba huo ujinga wenu mimi sihusiki nao kwa chochote kile na msinihusishe nao,kajamaa kakapaniki ooh kama vipi naomba na a/c yangu humu JF ifutwe bla bla bla sijui iliishia wapi.

dodge
Weee usinambie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wote ni matapeli, hata ww ni tapeli ushawah kumtapeli mtu Kwa nyakat fulan , Ila Kwa Sabab Ontario ana gain more Kwa kile tuanchokiita ni tapel bas tunamuonea nongwa , watu wanafanya utapeli kwenye mahusiano Yao, kwenye mapenz huko watu wanatapeliana kama kawa, huko makanisan watu wanatapeliana , Kwa waganga mtu anatapeli, kwenye maswala ya biashara ndo kabisaaa .....
Eti nilishawahi tapeli? Una uhakika?

We unawasemelea watu? Kama we ni tapeli unadhani kila mtu ni tapeli eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom