Mwanamke bikira ndiye mwenye uhalali wa kutolewa mahari

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,425
9,823
Mahari ni shukrani ambayo familia ya mwanaume inatoa kwenda kwa familia ya mwanamke kama fadhira ya kutunziwa mke, ieleweke kwamba kutunziwa sio gharama za kumsomesha, chakula n.k kutunziwa mke maana yake unapewa mke akiwa bado hajatumika kimapenzi yaani bikira. Maana gharama za matunzo mengine kama chakula, mavazi, shule n.k hata mtoto wa kiume anahitaji pia.

Utaratibu wa kutoa mahari ni wa tangu kale na kigezo cha bikira ni cha muhimu sana, nyakati izo mwanamke anaeposwa ikijulikana hana bikira ni fedhea kubwa sana kwa familia hata mchakato wa kuolewa unakufa hapo hapo na mwanaume akijua mwanamke hana bikira baada ya kumuoa ana haki ya kudai na kurudishiwa compensation ya gharama alizoingia kuanzia mahari, sherehe ya harusi n.k

Hata katika vitabu vya dini ambazo zinafuatwa na wengi imehalalishwa kwamba baada ya harusi ukikuta mkeo hana bikira yafaa kumtoa nje apigwe mawe mpaka kufa.

Mwanaume umemkuta mwanamke hana bikira basi hautakiwi kumtolea mahari.
 
Back
Top Bottom