mwibamwiba
Senior Member
- May 22, 2015
- 150
- 38
Kama binadamu mwingine ningependa fursa ya kuonana na rais na hata kuongea nae dakika chache kisha kupiga angalau picha moja na si vibaya waandishi wakarusha luningani.
Hii ni kufuatia kulithika na hata kuwa na kumbukumbu muhimu ya viongozi hawa wa juu kabisa, sasa ndoto kama hii ya abunaswi itatimia kwa utaratibu upi, enyi wenye mamlaka huwa inakuwaje.
Tupeni utaratibu na sie turidhike katika mioyo yetu au kama ana simu iwekeni hapa japo tumpigie kumsalimu na kumpongeza mengi au kama ana email itakuwa vyema zaidi.