Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

i wish ningekua Rais 😋, afu Rebeca 83 ukija ofisini kwangu nakufanyia ma sifa kibao,mara nampigia simu prof machokodo namwambia azungumze na balozi aliyepo Nice ufaransa nataka kwenda weekend
 
Umetishia kuua,hivyo huna sifa za kuonana na magufuri,mcheki makonda atakusaidia

Nimemtishia nani..km ni yule tapeli na afee tu..shenzi..mbona i am dead inside for what he has done,,,kama sitaweza kuonana na rais ni sawa mkuu
 
Nimemtishia nani..km ni yule tapeli na afee tu..shenzi..mbona i am dead inside for what he has done,,,kama sitaweza kuonana na rais ni sawa mkuu
Pole sana,just relax njoo hapa fish fish tupate Serengeti baridiii
 
Amekutapeli au ametapeli wananchi kwanini uwe na jazba ivo mpka utake auawe ilihli nchi yetu hairuhusu,anyway mu expose tu
 
...Hivi raisi hana email ama simu yake binafsi ambayo anaweza kuitumia kwa mawasiliano ya binafsi na RAIA wake, ukiacha email official?
 
Back
Top Bottom