Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

Anzia kwa mjumbe wako wa mtaa, atakutambulisha kwa mwenyekiti wa serikali yako ya mtaa, utaelekezwa kwa mkuu wa wilaya, halafu kama upo mkoani utaelekezwa kwa mkuu wa mkoa na mkuu wako wa mkoa atakupeleka kwa Bashite, yeye ndiye atakukutanisha na Le Prezidaaa
 
Andikaaa baruaaa kwendaaa ikuluuuu

sent from my desktop computer
 
Anzia kwa mjumbe wako wa mtaa, atakutambulisha kwa mwenyekiti wa serikali yako ya mtaa, utaelekezwa kwa mkuu wa wilaya, halafu kama upo mkoani utaelekezwa kwa mkuu wa mkoa na mkuu wako wa mkoa atakupeleka kwa Bashite, yeye ndiye atakukutanisha na Le Prezidaaa
Ahsantee! Sanaaa. Mungu akubariki.
 
Email:ikulu@yahoo.com

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Back
Top Bottom