Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

Kama binadamu mwingine ningependa fursa ya kuonana na rais na hata kuongea nae dakika chache kisha kupiga angalau picha moja na si vibaya waandishi wakarusha luningani.

Hii ni kufuatia kulithika na hata kuwa na kumbukumbu muhimu ya viongozi hawa wa juu kabisa, sasa ndoto kama hii ya abunaswi itatimia kwa utaratibu upi, enyi wenye mamlaka huwa inakuwaje.

Tupeni utaratibu na sie turidhike katika mioyo yetu au kama ana simu iwekeni hapa japo tumpigie kumsalimu na kumpongeza mengi au kama ana email itakuwa vyema zaidi.
 
Kupiga picha na DHAIFU lazima uwe umeichangia CCM; ndio maana picha nyingi amepiga na matajiri nao wanazitumia kwa promotion zao na kuzitundika ofisini mwao na kwenye biashara zao kama mahoteli etc!!
 
LP ip
Kama binadamu mwingine ningependa fursa ya kuonana na rais na hata kuongea nae dakika chache kisha kupiga angalau picha moja na si vibaya waandishi wakarusha luningani, hii ni kufuatia kulithika na hata kuwa na kumbukumbu muhimu ya viongozi hawa wa juu kabisa, sasa ndoto kama hii ya abunaswi itatimia kwa utaratibu upi, enyi wenye mamlaka huwa inakuwaje, tupeni utaratibu na sie turidhike katika mioyo yetu au kama ana simu iwekeni hapa japo tumpigie kumsalimu na kumpongeza mengi au kama ana email itakuwa vyema zaidi.

Hapa sina msaada
 
si unakwenda ikulu tu,
vinywaji ni bure,ole wako ulewe,
ila kutokana na roho mbaya hutaruhusiwa/unaweza usivuke ''jeiti''
kimsingi ni haki ya kila raia kuingia ikulu,hata kutalii tu.
 
Kama binadamu mwingine ningependa fursa ya kuonana na rais na hata kuongea nae dakika chache kisha kupiga angalau picha moja na si vibaya waandishi wakarusha luningani, hii ni kufuatia kulithika na hata kuwa na kumbukumbu muhimu ya viongozi hawa wa juu kabisa, sasa ndoto kama hii ya abunaswi itatimia kwa utaratibu upi, enyi wenye mamlaka huwa inakuwaje, tupeni utaratibu na sie turidhike katika mioyo yetu au kama ana simu iwekeni hapa japo tumpigie kumsalimu na kumpongeza mengi au kama ana email itakuwa vyema zaidi.

Huna haja, siku hizi photoshop tu chukua picha yako na yake ziunganishe kwisha habari suuzika roho
 
Kama binadamu mwingine ningependa fursa ya kuonana na rais na hata kuongea nae dakika chache kisha kupiga angalau picha moja na si vibaya waandishi wakarusha luningani, hii ni kufuatia kulithika na hata kuwa na kumbukumbu muhimu ya viongozi hawa wa juu kabisa, sasa ndoto kama hii ya abunaswi itatimia kwa utaratibu upi, enyi wenye mamlaka huwa inakuwaje, tupeni utaratibu na sie turidhike katika mioyo yetu au kama ana simu iwekeni hapa japo tumpigie kumsalimu na kumpongeza mengi au kama ana email itakuwa vyema zaidi.
Ingia Bongo Movie...
 
Habari humu ,tafadhari wakuu naomba kujuzwa.
Hivi nikiwa na jambo langu nataka kuonana na Amir jeshi mkuu mzee MAGU kama Raia wa kawaida natakiwa nifanyeje?

Naomba kujuzwa njia na utaratibu wa kuingia Ikuru,
 
Habari zenu wakuu?

Kama kichwa cha habari kilivyo, nataka kuonana na mkuu wa hii nchi kabla huu mwaka haujaisha. Kwa anaefahamu utaratibu wa kufata ili niweze kumuona huyu mheshimiwa itakuwa jambo jema akinipa ABC.

Nataka kumpa recommendation fulani kuhusu kuestablish kiwanda katika jamii fulani. Waweza kuniongezea mchango wako ambao ungependa niufikishe kwa JPM.

Asanteni
 
Weka hapa JF mubashara kabisa.
Kwanza Rais, Dr. Magufuli, amesema yeye anafanya mambo yote kwa uwazi. Hivyo nasi wananchi iwe vivyo hivyo.

Sema jamii, kiwanda cha nini, na Kwa nini utaka kumuona yeye binafsi, je wasaidizi wake wamekuzingua!?

Weka kila kitu wazi.
 
Wekeni mambo hadharani, hujui nani humu Jf kesho naye atapata jambo la kutaka kuonana na mkulu.
 
Mwambie aweke bodi ya kusimamia bei za huduma za afya kama ilivyo ewura. ..

Pia kuwe bei elekezi kuna wadau wanatoza pesa nyingi masikini hawawezi kulipia wakati afya ni huduma zaidi kuliko biashara
 
Asante kwa mchango.
 
Back
Top Bottom