Utapeli wa Lissu: Majimbo ya uchaguzi yako 264 yeye katembelea 20 anasema katembea nchi nzima na anapendwa nchi nzima!!

Kwani sheria ya kutafuta wadhamini ilikuwa inamtaka kutembea kila jimbo? CCM kuna uhaba wa vijana wenye ubongo, yaliyopo kichwani yamebebelea makamasi!!
 
Jamani!! Kama huna cha kuandika acha!!! Nasema ACHAAA!!!!
Lissu kasema ametembelae mikoa karibu yote.. Kabakisha kama mikoa sita. Na hakuwa ana tembelea majimbo bali alikuwa ana tafuta wadhamini. Acheni kuwa mataga..
 
Tanga yako majimbo 12 kutembelea moja apate picha za kuzuga wazungu kuwa Tanga wanampenda

Tumia akili, acha kutumia matundu kufikiria!
Hivi siku za kutembea na kuomba wadhamini ni ngapi? Hebu zigawanye kwa hayo majimbo 264 uone utapata jibu gani...!? Je kwa hizo siku zingetosha kutembelea hayo majimbo yote?
Isitoshe hiyo mikoa aliyopita bila shaka wapo wawakilishi waliotoka majimbo ya karibu ili kumdhamini!
Hebu tueleze magu pamoja na kukaa miaka mitano je aliweza kutembelea majimbo yote ili kukagua utekelezaji wa ilani, hasa ile milion 50 kwa kila kijiji?
Sijui ni lini mataga mtaacha kutaga mayai hewa!!
 
Yaani wewe badala ya kumpamba malaika wako, unaamua kuhamia kwa TL!! Au pumzi imekata? Hakika mwaka huu TL atawajambisha kwe kweli.

Sidhani hata ile nguvu ya wasanii wenu 100 mnayoitumia kama itawasaidia, maana huu ndiyo mwaka wa mwisho kwa udikteta uchwara nchini.
 
Haaa
. Eti mayai hewa
 
Mataga mwaka huu lazima mtage mpende msipende
 
Ziara zake zimeonyesha anahangaika kunusuru majimbo ya Chadema ambako wabunge wamekalia kuti kavu ambalo uchaguzi October linaenda kukatika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…