Basi wasimkate mapema,wamwache agombeeBinafsi naona Hakuna mpinzani dhaifu tangu nchii hii imeanza siasa.. Kama Tindu lissu
#electionoctober
Ndio mukammiminia mvua ya risasi katika majengo Yale ya bunge walinzi mukawaondoa CCTV camera mukaziondoa mukamvua ubunge mukazuiya kumtibu mukalazimisha apelekwe muhimbili mukammalize kabisa lakini mukafeli mwisho mukaziya wabunge wenu wasiende kumuangalua na kumjuilia hali lisuBinafsi naona Hakuna mpinzani dhaifu tangu nchii hii imeanza siasa.. Kama Tindu lissu
#electionoctober
Hapo ndipo atamuelewa aslay anaposema mpaka maji wanaita mma..Inaonekana wiki nzima anakulaza na viatu mpaka moja unaandika mona...shenz type!!!
Binafsi naona Hakuna mpinzani dhaifu tangu nchii hii imeanza siasa.. Kama Tindu lissu
#electionoctober
Lini alikwambia katembelea nchi nzima?Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk
Hata aliyotembelea angalia utapeli
Manyara majimbo yako Saba katembelea Mona tu
Mbeya yako Saba kaishia moja tu la mbeya mjini kwa Sugu
Kilimanjaro yako 9 katembelea Moja tu Hai kwa Mbowe
Iringa yako 9 katembelea moja tu la Iringa mjini kwa Msigwa
Dodoma yako 10 hata moja hajagusa nk
Hebu fikiria anasema anapendwa nchi nzima kwa kutembelea majimbo 20 tu Kati ya 264!!!! Huu utapeli