Utapeli umeniumiza na kunisononesha sana

Sintosahau nilipotapeliwa 1.2mil tsh,nilizotoa kwa ajili ya kupata ajira mwaka 2015 ,niliunganishwa na rafik yang wa karib ,sintosahau namtafta Hugo MTU anaitwa joji kulinge ,aliyedai ni afsa utumishi wa taasisi kubwa hapa nchini
Yaaani unamtafuta mtu alafu bado unaficha identity yake?

Taasisi kubwa hapa nchini ndio kitu gani
 
Salary n lak 840000,awali nilikuwa nafanya kazi kwa kandarasi ya miaka miwili kwa project 1 huko kanda ya ziwa ka
 
mbinu za kijajanja ndo zinaingiza watu mjini........usipende kitonga ...
 
Hata mimi nakumbuka nilipigwa kama nusu ya hiyo ya kwako lakini kwa sababu mtu aliyeniunganisha tulikuwa tunaheshimiana sana,baada ya mchongo kubuma walinirushia kama robo tatu ya hicho kiasi nyingine iliyobaki wakajifutia jasho!.Usimwone mtu katapelia ukamdharau,unawekewa mazingira rafiki sana......
 
Back
Top Bottom