Utapeli umeniumiza na kunisononesha sana

Tumetofautiana sana Mimi siwezi Hong a ili nipendelewe hata Mara moja kama mtu anawishi kunisaidia afanye hivyo sio mpaka nimpe kitu.

Siwezi kuwa na furaha wakati kazi yenyewe nimepata kwa kuhonga nitasimamaje madhabahuni kwa BWANA kushuhudia kwamba ombi langu limejibiwa hakika sitakuwa na furaha siku zote.
ONyO:
Kupata kazi kwa kuhonga ulinzi Wa Mungu auambatani nawe katika kazi yako pia aliyekusaidia anakuwa muungu wako akikuomba hela usipompa ataanza ana kiburi bila Mimi asingekuwa pale na kama ni Mdada akikuta ulale nae kuchomoa ni zero percent shida zote za nini my living God is everything nitasema kwa imani
BWANA unihurumie nae atajibu.
 
Sintosahau nilipotapeliwa 1.2mil tsh,nilizotoa kwa ajili ya kupata ajira mwaka 2015 ,niliunganishwa na rafik yang wa karib ,sintosahau namtafta Hugo MTU anaitwa joji kulinge ,aliyedai ni afsa utumishi wa taasisi kubwa hapa nchini

Pole sana Zubeda!
Elimu iliyoya kweli huwa haipatikani darasani inapatikana mtaani. Nakupa pole kwani hukutaka kuufikirisha ubongo wako hata kidogo. Kwa kukusaidi wewe na wengine msije ibiwa hela nyingi inayotosha mtaji fanya hivi..japo si haki kupenyeza rupia ili upate haki yako ya msingi
Hakikisha kwamba unajiuliza maswalli yafuatayo?
1. Ninayempa hela ni nani?
2. Unamjua binafsi?
3. Tembelea ofisini kwake ili ujiridhishe ni kweli anashikilia nafasi aliyokueleza
4. Nasafi ya kazi unayoomba imetangazwa public?
5. Umeona mshahara wa hiyo kazi unayoomba? usije ambiwa utoe 1.2m wakati kazi unayopewa ni ya kufagia na mshaharani laki 1.
6. Pendelea kuwaambia utawapa full salary utakapo pokea mshahara.
Pole lakini naamini umepata elimu ya kutosha na walishochukua ndio ada yao
 
Tumetofautiana sana Mimi siwezi Hong a ili nipendelewe hata Mara moja kama mtu anawishi kunisaidia afanye hivyo sio mpaka nimpe kitu.

Siwezi kuwa na furaha wakati kazi yenyewe nimepata kwa kuhonga nitasimamaje madhabahuni kwa BWANA kushuhudia kwamba ombi langu limejibiwa hakika sitakuwa na furaha siku zote.
ONyO:
Kupata kazi kwa kuhonga ulinzi Wa Mungu auambatani nawe katika kazi yako pia aliyekusaidia anakuwa muungu wako akikuomba hela usipompa ataanza ana kiburi bila Mimi asingekuwa pale na kama ni Mdada akikuta ulale nae kuchomoa ni zero percent shida zote za nini my living God is everything nitasema kwa imani
BWANA unihurumie nae atajibu.
Amen
 
Back
Top Bottom