Utapeli mpya wa vodacom

Utapeli mpya wa vodacom

Ushaa ambiwa future banking ina maana not present/existing jua wako kwenye majaribio ya kitu flani. Sasa mwanzisha threat umetapeliwa nini hapo au kuona una laki nane ambayo hukuweka ukataka kutoa ikashindikana???I
 
hahahahahahahaha!hilo nalo neno,wa2 wana zimezea mate hzo pesa wengne wanajarbu kuzihamishia kwenye M-pesa.
 
hahahahahahahaha!hilo nalo neno,wa2 wana zimezea mate hzo pesa wengne wanajarbu kuzihamishia kwenye M-pesa.

Sijui na yeye alikuwa anatafuta nini kubonyeza hiyo namba huku haina promotion.. Hawa ndo wanaojisajili freemanson alfu wanasema hawakujua.
 
Sijui na yeye alikuwa anatafuta nini kubonyeza hiyo namba huku haina promotion.. Hawa ndo wanaojisajili freemanson alfu wanasema hawakujua.

umeona e hata mie nilikuwa cjui hz namba sasa cjui yeye kajua vp,duh!kweli waweza jisajili freemason hvhv kmchezo kmchezo 2.
 
Mbona mimi nimehamisha na imetoka.Ila cha ajabu haijapungua salio.Imebaki tena ile ile 800,000
 
Naomba niwekwe sawa ama nielekezwe kwa kina kabla sijaingia mkenge kuhusiana na huu utapeli wa vodacom,Tukiachana na huduma ya M PESA ambayo code yake unabofya *150*00# then unapata menu yake.Ila bado cjaipatia vema hii huduma ambayo ina code *150*55#.Hii code ukibofya inakupa ''Welcome to future Banking MBanking,Please enter PIN,na Ukijibu kwa PIN namba 1 inakupa select ,Balance check,My crdt card,mobile money,Transfer to m pesa,.......na ukicheki balance kwa kuweka ile PIN namba 1 unakuta mzigo wa salio la laki nane.ukihamisha kwa mpesa haiendi,Hili ndo limenifanya nigombane na keypad kupost nikiomba tueleweshane kwa anayeelewa hili,kuna uvumi eti hizi ni pesa za mafisadi wamezificha huku kwenye lain zetu,coz hii ni kwa lain zote za vodacom,wataalam shuken mtujuze maana tusije ingia mkenge.

Unapenda vya bure?
 
Wabongo bana porojo tunaziweza saaaaana! kuna kitu kinaitwa Test Environment na LIVE environment, hiyo ipo kwenye TEST environment sasa wizi umetoka wapi? wabongo tunaongea mno hasa kwenye vitu tusivyovijua na kujiwekea majibu kwenye maswali ambayo hatujayafanyia uchunguzi. Hiyo sms yenyewe inasema a TEST account for you has just been created on mBanking with a starting balance of shs 800,000/- saas mdau kaona dili kumbe nna laki nane hahaahaha angalieni msijeliwa viboga bureee.

Miaka flani hivi ya 2003 nakumbuka jamaa wa siemens(engineers) katika test zao za minara walitengeneza namba flani hivi ambayo ulikuwa ukiipiga inakupa mziki tuuu, wabongo sijui waliijuaje bana wakwa wanaipiga basi unaweza kaa nusu saa mziki tuu, wale engineers walipogundua kwamba raia wanaitumia basi wakafanya iwe ina bill, wabongo waliliwa aisee eti baadaye wanalalamika ohoo mbona mnatukata pesa, nani aliwaambia muitumie hiyo namba, mmepewa customer care bure si upige uulize! Bongo bana!!
 
vodacom mpesa na crdb wameingia mkataba now unaweza tuma hela za mpesa kwenda acount ya crdb au kutoa hela crdb kwenda mpesa now wanatest mitambo acheni tamaa
Cjakuelewa bado maana ukijaribu kwa Airtel na Tigo ni the same sasa Mpesa inatoka wapi? labda uniambie Mbanking stand for Mobile banking
 
Cjakuelewa bado maana ukijaribu kwa Airtel na Tigo ni the same sasa Mpesa inatoka wapi? labda uniambie Mbanking stand for Mobile banking

Nimesema mpesa sababu muanzisha mada ameongelea vodacom angeongelea tigo ningesema tigo pesa for more information nenda customer care crdb vipeperush vimejaa vingi kajielimishe
 
mh haya mambo jaman ya kuogopa ila ndo hvyo acha nao waibe watakula wap kama wana uhakka ukfanya hv lazma wakamate..........
mung anijalie ntalza wote
 
Hiyo ni menu ya CRDB bank kwa njia ya SimBaking hiyo acc Ni majaribio tu!!!!
 
Naomba niwekwe sawa ama nielekezwe kwa kina kabla sijaingia mkenge kuhusiana na huu utapeli wa vodacom,Tukiachana na huduma ya M PESA ambayo code yake unabofya *150*00# then unapata menu yake.Ila bado cjaipatia vema hii huduma ambayo ina code *150*55#.Hii code ukibofya inakupa ''Welcome to future Banking MBanking,Please enter PIN,na Ukijibu kwa PIN namba 1 inakupa select ,Balance check,My crdt card,mobile money,Transfer to m pesa,.......na ukicheki balance kwa kuweka ile PIN namba 1 unakuta mzigo wa salio la laki nane.ukihamisha kwa mpesa haiendi,Hili ndo limenifanya nigombane na keypad kupost nikiomba tueleweshane kwa anayeelewa hili,kuna uvumi eti hizi ni pesa za mafisadi wamezificha huku kwenye lain zetu,coz hii ni kwa lain zote za vodacom,wataalam shuken mtujuze maana tusije ingia mkenge.
nlifikiri umeweka hela afu hazitoki......kumbe umezikuta humohumo!! unawezaje kuvuna kama hujapanda chochote....!!:nono:
 
Back
Top Bottom