Jipu: Taasisi za Serikali kuwageuza walala hoi kuwa vitega uchumi vyao

Manmura

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
750
167
Kumekuwa na tabia za baadhi ya tasisi za serikali hususani za elimu ambazo zimeundwa maalum kuisidia jamii ya kitanzania kugeuka na kuwafanya hao hao walala hoi kuwa vitega uchumi vyao pamoja na kuwa hizo tasisi zinapewa fungu serikalini (kodi zetu) ila tatizo linajitokeza pale wananchi wanavyohitaji kupata huduma kwenye tasisi hizo hulazimika pia kulipia hiyo huduma na hizo hela za hiyo huduma zinalipwa kwenye tasisi husika na usipolipa huwezi pata hiyo huduma.

Kutokana na sababu kuwa hizi tasisi ni za serikali na wafanyakazi wake hulipwa pesa na serikali na wanachokuwa wakikifanya ni sehem ya majukum ya ajira zao kuna haja gani ya kulipishwa gharama na hizo tasisi.

Please read carefully the information in this page before attempting to do anything.
WELCOME TO CENTRAL ADMISSION SYSTEM

Welcome to Central Admission System for Certificate,Diploma,Higher Diploma and Bachelor Degree for Ordinary Diploma Holders

The System allows you to apply for Admission into Further and Higher Education for academic year 2016/2017.

Available Application Categories:-

  • - Admission into Certificate/Diploma and Higher Diploma
    • Administration, Business, Law, Planning, Social Work, Tourism and related Programmes :- Deadline 30/06/2016
    • Agriculture, Livestock, Engineering, ICT and other related Sciences :- Deadline 31/05/2016
    • Health and Allied Sciences (Including Community Health, Health Records etc) :- Deadline 31/05/2016
    • Teacher Education :- Deadline 31/05/2016
  • - Admission into Bachelor Degree Programmes :- Deadline 31/05/2016
IMPORTANT NOTES:
You are advised to select your most preferred category according to prior qualifications that you hold, because your selection depends on your choices and your qualifications.


To proceed with the this application you must have the following

  • 1. Valid and Working Email Address
  • 2. Valid Phone Number
  • 3. Payment Mpesa Confirmation Code
Read Guide Book:
To know exactly requirement of programmes you wish to apply, it is highly recommended to carefully read admission guidebook. Click here to download.

APPLICATION FEE (Non refundable):
Application fee for this academic year are as in following categories:-

  • - For Certificate/Diploma And Higher Diploma in
    • Administration, Business, Law, Planning, Social Work, Tourism and related Programmes alone :- TShs 20,000/=
    • Agriculture, Livestock, Engineering, ICT and other related Sciences alone :- TShs 20,000/=
    • Health and Allied Sciences (Including Community Health, Health Records etc) alone :- TShs 30,000/=
    • Teacher Education alone :- TShs 20,000/=
      NOTE: For More than one professional area e.g Teacher Education and Agriculture, Livestock, Engineering, ICT and other related Sciences professional areas shall be TShs 30,000/=
  • - Bachelor Degree :- TShs 50,000/=
Which shall be paid through M-PESA using the following menu:-
Note: Payment Instructions: Please follow the steps below to pay through M-Pesa:

  • 1. Dial *150*00#
  • 2. Select 4. Payments
  • 3. Select 4. Enter business number
  • 4. Enter the business number (607070)
  • 5. Enter reference No. (1234)
  • 6. Enter Amount (e.g 50,000/=)
  • 7. Enter PIN
  • 8. Press 1 to Confirm:
After confirmation you will receive a message from Vodacom (e.g. "BA54KP432 Confirmed. Tshs. 50,000 sent to business NACTE for account 1234 on 14/4/14 at 2:33 PM New M-Pesa balance is Tsh 200").

*Use the confirmation code at the beginning of the message to enter on payment details text box (BA54KP432).

NB: All applicants are advised to keep in safe place their confirmation number for M-PESA payment for future reference and payment confirmation. Applicants are advised to read carefully the admission requirements of each programme they anticipate to apply in the guidebook before finalizing the application process in order to avoid problems that may arise due to failure to follow appropriate instructions.
REGISTRATION:
To apply for mentioned category you must be registered to CAS follow the below link to proceed.

wengine wenye tabia kama hizo ni loan board. Aliyeteuliwa aongeze ufanisi ikiwemo kufuta gharama kama izi ambazo ni mzigo kwa wananchi.
NITOE RAI KWA WAHUSIKA SERIKALINI WAANGALIE HILI SWALA IKIWEZEKANA KULIBORESHA IKIWEZEKANA WAFUTE KABISA IZO GHARAMA LAKINI PIA CAG AKAKAGUE UTUMIAJI WA HIZO HELA KWA TASISI AMBAZO ZIMEKUWA ZIKICHANGISHA WATU FEDHA NDO ZITOE HUDUMA
 
Umenena vyema mkuu, kuna mambo mengine sio ya kulipishana ila kwakuwa system imeoza sie walala hoi bado tunakamuliwa sana hata kwa huduma ambazo kimsingi ilibidi zifanyike bila malipo yoyote.
 
Ni gharama gani inaongezeka ukijiandikisha degree tofauti na diploma, kwanini digirii iwe elfu hamsini na diploma iwe elfu ishirini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom