Kottler Masoko
Senior Member
- May 28, 2010
- 193
- 28
WADAU TUSAIDIANE: kuna jamaa yangu ameshare hii link http://national-loans.wapka.mobi/index.xhtml
HUU SIYO UTAPELI MPYAAA????
NATIONAL LOANS ina jumla ya wafanyakazi 5,532,249 walio gawanywa katika nchi zote tajwa hapo juu.
KUANZISHWA KWA HUDUMA ZA NATIONAL LOANS KATIKA NCHI YA TANZANIA
Introduction of the National Loans Service in Tanzania
Tumesogeza huduma zetu za mikopo nchini TANZANIA kwa makubaliano ya wazi yaliofanywa na Uongozi wa Bodi kuu ya Mikopo TANZANIA pamoja na Tawi kuu la BANK ya BARCLAYS lililopo nchini TANZANIA baada ya kupokea muongozo wa uanzilishi wa huduma zetu katika nchi ya Tanzania.
Tumeanzisha rasmi huduma zetu za utoaji mikopo ambayo haitakua na RIBA kwa watanzania baada ya kupata ruhusa kutoka katika Bank kuu ya Tanzania, Bodi kuu ya mikopo Tanzania na tumepata udhamini wa Bank kuu ya Barclays iliyopo Tanzania pamoja na kampuni za simu Tanzania MIC TANZANIA LTD (TIGO) na VODACOM TANZANIA LTD (VodaCom) ili kuwezesha uendeshaji wa huduma zetu kwa urahisi na haraka.
UHALALI WA ASASI HII YA NATIONAL LOANS
Legitimacy of the NATIONAL LOANS organization
Usajili wa asasi hii katika nchi ya Tanzania umefuata taratibu na sheria za usajili wa TRA pia katika upande wa mawasiliano ya mtandao (Website) NATIONAL LOANS imesajiliwa kikamilifu kupitia mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA
KWANINI MIKOPO HII INATOLEWA KWENYE MTANDAO?
Why Credit is given on the Web?
Kama ilivyoelezwa katika maelezo ya awali kua Asasi hii ya National Loans imeanzishwa nchini Marekani pekee ila inajaribu kupanua huduma zake katika nchi mbali mbali ili kufanikisha wazo kuu la uanzishwaji wa asasi hii na kufikia malengo pangwa katika uongozi wa National loans
Tanzania ni nchi ya mwisho kati ya nchi zote ambazo tumeeneza huduma zetu! Mikakati ya uanzishwaji huduma zetu katika nchi ya Tanzania ilijengwa mwaka 2013 na kuanzishwa rasmi kwa huduma zetu mwaka huu 2014 na kuzindua rasmi huduma zetu Tarehe 01-01-2014 kwa upande wa Tanzania huduma zetu za mikopo zimeanzishwa katika kipindi kifupi ambacho sio rahisi kueneza matawi katika nchi nzima ya Tanzania hivyo tumeanza na njia hii rahisi zaidi ili kila mtanzania aweze kujiunga na kupata mkopo kupitia mtandaoni wakati huo tunafanya maandalizi ya kuwepo kwa matawi yetu nchi nzima.
Sababu nyingine kuu ambayo imetufanya kuanzisha mfumo huu wa mwanachama kujiunga katika mtandao zipo sababu mbili zifuatazo:-
( i ) Tumeanzisha mfumo huu kwa kua bado huduma zetu hazijawa na wanachama wengi zaidi katika nchi ya Tanzania, hivyo tunahitaji idadi ya wanachama zaidi ya 3,000 watakao jiunga ili kupata faida na kutambua kua watanzania wamepokea vizuri huduma zetu kwa kuhofia kupoteza gharama nyingi kuwekeza matawi katika nchi ya Tanzania wanachama wakawa wadogo itakua ni hasara kwa asasi yetu hivyo tunatazamia wingi wa wanachama watakaojiunga ili kusambaza zaidi huduma zetu!
( ii ) Tumeanzisha mfumo huu wa kujiunga mtandaoni kwa kulenga faida za mawasiliano kama fidia za RIBA ambazo mteja hapaswi kulipa RIBA. Tunapata faida mara mbili kupitia mteja anaejiunga katika mtandao pindi anapolipia malipo yake ya kujiunga uanachama ile ni moja ya faida kwetu na faida hiyo inazalisha faida nyingine kupitia mikataba yetu na simu za mkononi Vodacom na Tigo pesa inayolipiwa kwa njia ya mtandao inatuingizia faida pindi mteja anapolipia kupitia huduma za MPESA na TIGOPESA Tanzania kiwango anachokatwa mteja wakati wa kutuma pesa kuna asilimia za makato zinazoingizwa katika mfuko wa asasi hii.
TARATIBU ZA KUPATA MKOPO
Procedures for obtaining a loan
Taratibu za upatikanaji mikopo kwa mwanachama mpya ambae anahitaji kujiunga ili apatiwe mkopo kwanza anatakiwa kukubaliana na taratibu zetu, awe na vigezo / sifa ambazo zitamfanya aweze kutuma maombi yake ya mkopo na kupatiwa mkopo!
Ni lazima mwanachama mpya ajiunge katika asasi hii kwa kujaza fomu yetu iliyo katika huu mtandao na ataituma kwetu kupitia katika huu mtandao. Baada ya kujaza fomu na kuituma atatakiwa kulipia malipo ya Uanachama kiasi cha TSHS. 83,000 (ELFU THEMANINI NATATU). Baada ya kujaza fomu na kulipia malipo ya uanachama mwanachama mpya aliejiunga atasubiri kwa muda wa dakika45 na ataupokea mkopo wake ndani ya dakika45 bila kucheleweshewa endapo kama atakua amekamilisha taratibu hizo za kujiunga na kufanya malipo ya uanachama.
SIFA ZA KUJIUNGA UWE MWANACHAMA UPATIWE MKOPO
Qualifications to be a member to join ask for a loan
( i ) AWE MUAMINIFU
atambue wajibu wake wakati wa kufanya marejesho ya mkopo wake.
( ii ) AWE NA AKILI TIMAMU
mwanachama anatakiwa kujitambua anachokifanya wakati wa kutuma maombi ya mkopo atumie busara na akili zake kwa kujielewa anachokifanya katika maombi yake ya mkopo
( iii ) AWE NI MTANZANIA
mtandao huu unahusisha huduma za NATIONAL LOANS kwa raia ambao wanaishi nchi ya Tanzania pekee hakikisha wewe ni mtanzania ulietembelea mtandao huu endapo kama utakua sio mtanzania / haupo katika nchi ya Tanzania IP adress yako ikionesha sehemu tofauti na Tanzania na ukajaza fomu zetu IP Adress yako itafungiwa kulingana na mfumo wa ulinzi uliowekwa katika mtandao wetu
( iv ) AWE NA UMRI USIOPUNGUA MIAKA 18 AU KUZIDI MIAKA 50 NAKUENDELEA.
( v ) AWE NA KITAMBULISHO KIMOJA KATI YA HIVI:-
KITAMBULISHO CHA SEREKALI, KITAMBULISHO CHA SEHEMU ANAYOFANYIA KAZI, KITAMBULICHO CHA UTAIFA, KITAMBULISHO CHA UCHAGUZI WA KURA, LISENI YA GARI AU KITAMBULISHO CHA BENKI.
KWANINI TUNATOA MIKOPO ISIYOKUA NA RIBA
Why we provide loans without interest
faida inayopatikana nikubwa yenye kukidhi majukumu na kuendeleza huduma kupitia malipo ya uanachama na makato tunayolipwa na mitandao ya simu hivyo hakuna sababu ya kuwepo na RIBA katika asasi hii hivyo hatuchukui RIBA kutokana na faida inajitosheleza pindi mwanachama anapojiunga na kulipia malipo ya uanachama.
BAADA YA KUJAZA FOMU NA KULIPIA MALIPO YA UANACHAMA MKOPO UNATOLEWA NDANI YA MUDA GANI?
After filling the form and pay the membership payments of the loan is issued within what time?
VIWANGO VYA MKOPO NI KUANZIA SHILINGI NGAPI?
Mortgage rates are from many shillings?
MTEJA ATAPATA VIPI MKOPO WAKE BAADA YA KUJAZA FOMU NA KULIPIA MALIPO YA UANACHAMA?
How the client will receive its loan after filling the form with payment to pay membership?
MTEJA ATAKAE JAZA FOMU NA AKALIPIA MALIPO YA UANACHAMA IKATOKEA HAJAPATA MKOPO WAKE ATATUPATA VIPI?
Customer will stay and fill in paying premiums appeared membership has not received its loan will finds us how?
Ikitokea mteja amekamilisha taratibu zote za kujaza fomu na kulipia ada na hajapokea mkopo wake wa pesa ni rahisi kutupata kupitia wawakilishi wetu walio katika nchi yake. Kwa mtanzania ambae atakua hajapokea mkopo wake na amekamilisha taratibu zote anaweza kuwasiliana na uongozi wa BANKI ya BARCLAYS nenda katika tawi lolote la BARCLAYS kwa malalamiko au kwa msaada wowote ule pia unaweza ukawasiliana na muwakilishi mkuu ambae ni mkaguzi wa huduma zetu kwa upande wa Tanzania anaitwa Mr. Samuel Diego Manager mkuu wa Bank ya BARCLAYS endapo kama utakua haujapokea mkopo wako au una malalamiko fika katika Tawi kuu la Bank ya Barclays lililopo Nkuruma street Mlimany City onana na Mr. Samuel Diego kwa msaada kama upo Tanzania
IKITOKEA MTEJA TUMEMPATIA MKOPO AKASHINDWA KUREJESHA TUTAMPATA VIPI?
Coming from the client we give loan he could not repay what we found?
Kwa mtazamo wa haraka mteja anaweza kudhani ni rahisi kujiunga na kupewa mkopo kisha akakimbia bila kufanya marejesho kwa kudhani hatutoweza kujua sehemu alipo na makazi yake ya kudumu.
SECURITY: kabla ya mteja kufikiria kufanya utapeli wa aina hii kuchukua mkopo na kukimbia inabidi atambue kua mtandao huu upo chini ya ulinzi wa camera za CCTV Flash Website ambazo zina sense paji la uso la mteja kwa kuhifadhi flash ya kimvuli cha uso wakati unapitia maelezo haya na kuhifadhi katika CCTV sattelite webpage pia inabidi mteja atambue kua Computer au simu anayotumia wakati huu inasoma IP adress na ku-trace eneo ambalo yupo kwa muda huu. Hatua ya mwisho ambayo mteja ni rahisi kumpata ni kupitia SIM CARD (laini) yake ya simu atakayotumia kufanya malipo ya ada kwa M-PESA au TIGOPESA kampuni ya simu hutuma data kamili za mteja ikiwa ni mawasiliano yake yote na watu wake wa karibu ndugu, jamaa au marafiki na kupata matumizi yake yote ya laini anayotumia katika mawasiliano kuturahisishia sisi kutoa taarifa katika vyombo vya usalama na kuwakamata watu wa karibu anao wasiliana nao ili kumpata kwa urahisi.
HAKIKISHA ULINZI?
Ensure Protection
SECURITY ALERT.
MTEJA ASIPO REJESHA MKOPO ATAPEWA ADHABU GANI?
Refund the customer explains how the loan will be given punishment?
Marejesho ya mkopo yatalipwa kwa njia ya M-PESA katika namba 0762 764 322 au TIGO PESA katika namba 0715 552 098 au AIRTEL MONEY katika namba 0784 492 321 marejesho ya mkopo yanafanyika kila mwezi
Baada ya mteja kujaza fomu zetu na kulipia malipo ya uanachama akapatiwa mkopo atatakiwa akae miezi mitatu akizungusha pesa tutakayompatia ili izalishe faida na kupatikana kwa marejesho yetu atakaa miezi mitatu bila kufanya marejesho baada ya miezi mitatu kupita mteja anatakiwa kuanza marejesho mwezi unaofatilia kila ifikapo tarehe moja mteja anawajibika kurejesha shilingi laki moja kupitia M-PESA au TIGOPESA kila mwezi anarejesha laki moja mpaka deni lake litakapo kwisha
MFANO: Umekopa Tshs. 3,000,000 (Million Tatu) utatakiwa kurejesha kila mwezi laki moja kwa muda wa miezi 30 ukipiga hesabu laki moja zidisha kwa thelathini unapata Shilingi million tatu. Marejesho yanafanyika kila mwezi tarehe 1
MAREJESHO YA MKOPO
Repayment of loan

JINSI YA KUJIUNGA UWEZE KUPATA MKOPO
How to subscribe you can get a loan
Kujiunga ni rahisi sana mtanzania yoyote mwenye vigezo anaweza kujiunga kwa kujaza fomu yetu HAPA na akaituma kwetu kupitia mtandao huu fomu yake tutaipokea atatakiwa kulipia malipo ya uanachama kiasi cha Tshs. 83,000 (ELFU THEMANINI NATATU) tutaidhinisha maombi yake na kuhakiki fomu yake na ataupokea mkopo wake ndani ya dakika45 bila kucheleweshewa.
Malipo ya Uanachama yatalipiwa kupitia M-PESA katika namba 0762 764 322 au TIGOPESA katika namba 0715 552 098 au kupitia Airtel Money katika namba 0784 492 321 ni lazima kwa mteja anaejaza fomu kulipia malipo ya uanachama ili apatiwe mkopo wake.
JIUNGE HAPA UPATE MKOPO
Register here get a loan
HUU SIYO UTAPELI MPYAAA????
Language has been changed due to your contry TANZANIA
Lugha imebadilishwa kutokana na nchi yako TANZANIA
Lugha imebadilishwa kutokana na nchi yako TANZANIA
Tanzania Sponsored by:
NATIONAL LOANS
NATIONAL LOANS ni Asasi ya kitaifa iliyoanzishwa nchini marekani (United State of America) kwa dhumuni la utoaji mikopo ya fedha kwa mataifa mbali mbali. Mikopo hii imewekwa asilimia sifuri (0%) ya RIBA katika marejesho mteja yuko huru kukopa na kurejesha mkopo usiokua na RIBA ili kufanikisha dhumuni la kutaka kuwasaidia wananchi walio katika mataifa husika sehemu ambayo huduma za NATIONAL LOANS zinapatikana.
NATIONAL LOANS imeanzishwa mwaka 1997 nchini marekani ikiwa na jumla ya Matawi 64,326 katika nchi mbali mbali ikiwemo America, United Kingdom (UK), India, Canada, Ethiopia, Brazil, Malawi, Mozambique, South Africa, Kenya, Uganda, Angola, Republic of Congo, China na Germany.NATIONAL LOANS ina jumla ya wafanyakazi 5,532,249 walio gawanywa katika nchi zote tajwa hapo juu.
KUANZISHWA KWA HUDUMA ZA NATIONAL LOANS KATIKA NCHI YA TANZANIA
Introduction of the National Loans Service in Tanzania
Huduma za mikopo za NATIONAL LOANS zimeanzishwa rasmi na kuzinduliw nchini TANZANIA mwaka 2013.Tumesogeza huduma zetu za mikopo nchini TANZANIA kwa makubaliano ya wazi yaliofanywa na Uongozi wa Bodi kuu ya Mikopo TANZANIA pamoja na Tawi kuu la BANK ya BARCLAYS lililopo nchini TANZANIA baada ya kupokea muongozo wa uanzilishi wa huduma zetu katika nchi ya Tanzania.
Tumeanzisha rasmi huduma zetu za utoaji mikopo ambayo haitakua na RIBA kwa watanzania baada ya kupata ruhusa kutoka katika Bank kuu ya Tanzania, Bodi kuu ya mikopo Tanzania na tumepata udhamini wa Bank kuu ya Barclays iliyopo Tanzania pamoja na kampuni za simu Tanzania MIC TANZANIA LTD (TIGO) na VODACOM TANZANIA LTD (VodaCom) ili kuwezesha uendeshaji wa huduma zetu kwa urahisi na haraka.
UHALALI WA ASASI HII YA NATIONAL LOANS
Legitimacy of the NATIONAL LOANS organization
NATIONAL LOANS imehalalishwa kisheria na kupewa ruhusa ya kuendesha huduma za upatikanaji mikopo nchini TANZANIA kupitia Makubaliano ya wazi baina yetu na uongozi wa Bodi kuu ya Mikopo Tanzania.Usajili wa asasi hii katika nchi ya Tanzania umefuata taratibu na sheria za usajili wa TRA pia katika upande wa mawasiliano ya mtandao (Website) NATIONAL LOANS imesajiliwa kikamilifu kupitia mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA
KWANINI MIKOPO HII INATOLEWA KWENYE MTANDAO?
Why Credit is given on the Web?
Moja ya swali la msingi kwa wanachama wapya watakaotaka kujiunga hili linaweza kuwatatiza na kutaka kujua majibu sahihi kwanini tumeanzisha mfumo huu wa kujiunga mtandaoni...?Kama ilivyoelezwa katika maelezo ya awali kua Asasi hii ya National Loans imeanzishwa nchini Marekani pekee ila inajaribu kupanua huduma zake katika nchi mbali mbali ili kufanikisha wazo kuu la uanzishwaji wa asasi hii na kufikia malengo pangwa katika uongozi wa National loans
Tanzania ni nchi ya mwisho kati ya nchi zote ambazo tumeeneza huduma zetu! Mikakati ya uanzishwaji huduma zetu katika nchi ya Tanzania ilijengwa mwaka 2013 na kuanzishwa rasmi kwa huduma zetu mwaka huu 2014 na kuzindua rasmi huduma zetu Tarehe 01-01-2014 kwa upande wa Tanzania huduma zetu za mikopo zimeanzishwa katika kipindi kifupi ambacho sio rahisi kueneza matawi katika nchi nzima ya Tanzania hivyo tumeanza na njia hii rahisi zaidi ili kila mtanzania aweze kujiunga na kupata mkopo kupitia mtandaoni wakati huo tunafanya maandalizi ya kuwepo kwa matawi yetu nchi nzima.
Sababu nyingine kuu ambayo imetufanya kuanzisha mfumo huu wa mwanachama kujiunga katika mtandao zipo sababu mbili zifuatazo:-
( i ) Tumeanzisha mfumo huu kwa kua bado huduma zetu hazijawa na wanachama wengi zaidi katika nchi ya Tanzania, hivyo tunahitaji idadi ya wanachama zaidi ya 3,000 watakao jiunga ili kupata faida na kutambua kua watanzania wamepokea vizuri huduma zetu kwa kuhofia kupoteza gharama nyingi kuwekeza matawi katika nchi ya Tanzania wanachama wakawa wadogo itakua ni hasara kwa asasi yetu hivyo tunatazamia wingi wa wanachama watakaojiunga ili kusambaza zaidi huduma zetu!
( ii ) Tumeanzisha mfumo huu wa kujiunga mtandaoni kwa kulenga faida za mawasiliano kama fidia za RIBA ambazo mteja hapaswi kulipa RIBA. Tunapata faida mara mbili kupitia mteja anaejiunga katika mtandao pindi anapolipia malipo yake ya kujiunga uanachama ile ni moja ya faida kwetu na faida hiyo inazalisha faida nyingine kupitia mikataba yetu na simu za mkononi Vodacom na Tigo pesa inayolipiwa kwa njia ya mtandao inatuingizia faida pindi mteja anapolipia kupitia huduma za MPESA na TIGOPESA Tanzania kiwango anachokatwa mteja wakati wa kutuma pesa kuna asilimia za makato zinazoingizwa katika mfuko wa asasi hii.
TARATIBU ZA KUPATA MKOPO
Procedures for obtaining a loan
Ni sheria kwa kila mwanachama wetu kupatiwa mkopo katika asasi hii bila kipingamizi endapo kama atakua amekamilisha taratibu zetu na kutekeleza mahitaji ya asasi yetuTaratibu za upatikanaji mikopo kwa mwanachama mpya ambae anahitaji kujiunga ili apatiwe mkopo kwanza anatakiwa kukubaliana na taratibu zetu, awe na vigezo / sifa ambazo zitamfanya aweze kutuma maombi yake ya mkopo na kupatiwa mkopo!
Ni lazima mwanachama mpya ajiunge katika asasi hii kwa kujaza fomu yetu iliyo katika huu mtandao na ataituma kwetu kupitia katika huu mtandao. Baada ya kujaza fomu na kuituma atatakiwa kulipia malipo ya Uanachama kiasi cha TSHS. 83,000 (ELFU THEMANINI NATATU). Baada ya kujaza fomu na kulipia malipo ya uanachama mwanachama mpya aliejiunga atasubiri kwa muda wa dakika45 na ataupokea mkopo wake ndani ya dakika45 bila kucheleweshewa endapo kama atakua amekamilisha taratibu hizo za kujiunga na kufanya malipo ya uanachama.
SIFA ZA KUJIUNGA UWE MWANACHAMA UPATIWE MKOPO
Qualifications to be a member to join ask for a loan
Sifa kuu za mwanachama anaetakiwa kujiunga katika asasi hii, anatakiwa:-( i ) AWE MUAMINIFU
atambue wajibu wake wakati wa kufanya marejesho ya mkopo wake.
( ii ) AWE NA AKILI TIMAMU
mwanachama anatakiwa kujitambua anachokifanya wakati wa kutuma maombi ya mkopo atumie busara na akili zake kwa kujielewa anachokifanya katika maombi yake ya mkopo
( iii ) AWE NI MTANZANIA
mtandao huu unahusisha huduma za NATIONAL LOANS kwa raia ambao wanaishi nchi ya Tanzania pekee hakikisha wewe ni mtanzania ulietembelea mtandao huu endapo kama utakua sio mtanzania / haupo katika nchi ya Tanzania IP adress yako ikionesha sehemu tofauti na Tanzania na ukajaza fomu zetu IP Adress yako itafungiwa kulingana na mfumo wa ulinzi uliowekwa katika mtandao wetu
( iv ) AWE NA UMRI USIOPUNGUA MIAKA 18 AU KUZIDI MIAKA 50 NAKUENDELEA.
( v ) AWE NA KITAMBULISHO KIMOJA KATI YA HIVI:-
KITAMBULISHO CHA SEREKALI, KITAMBULISHO CHA SEHEMU ANAYOFANYIA KAZI, KITAMBULICHO CHA UTAIFA, KITAMBULISHO CHA UCHAGUZI WA KURA, LISENI YA GARI AU KITAMBULISHO CHA BENKI.
KWANINI TUNATOA MIKOPO ISIYOKUA NA RIBA
Why we provide loans without interest
Kulingana na mfumo wa asasi hii kuingia mikataba na mashirika mbali mbali ya kampuni za simu kama VODACOM na TIGO tumekua tukipata faida nyingi pindi mwanachama anapojiunga, Asasi hii inanufaika pindi mwanachama mpya anapojisajili na kulipia malipo ya uanachama kiasi anacholipia mwanachama Tshs 83,000 hugawanywa katika malipo ya wafanyakazi na kuchangia mfuko wa wanachama ili kuwezesha upatikanaji mikopo kwa wanachama wengine pia mwanachama anapotuma pesa ya malipo ya uanachama makato anayokatwa na kampuni ya simu asilimia 10 ya makato hugawanywa kati ya kampuni ya simu na asasi yetu na kupata uwiano wa asilimia tano za faida katika asasi hii.faida inayopatikana nikubwa yenye kukidhi majukumu na kuendeleza huduma kupitia malipo ya uanachama na makato tunayolipwa na mitandao ya simu hivyo hakuna sababu ya kuwepo na RIBA katika asasi hii hivyo hatuchukui RIBA kutokana na faida inajitosheleza pindi mwanachama anapojiunga na kulipia malipo ya uanachama.
BAADA YA KUJAZA FOMU NA KULIPIA MALIPO YA UANACHAMA MKOPO UNATOLEWA NDANI YA MUDA GANI?
After filling the form and pay the membership payments of the loan is issued within what time?
Taratibu zetu zilizopangwa kulingana na ulinzi wa fedha za mwanachama aliejaza fomu na kulipia malipo ya uanachama Tshs. 83,000 uongozi wetu utatumia dakika tano kujadili fomu yake na kuidhinisha maombi yake pia tutatumia dakika kumi za kufanya uhakiki wa maelezo yaliyo katika fomu yake tutatumia dakika 45 kupitia fomu na kuhakiki maelezo yake kisha tutamtumia mkopo wake. Mwanachama atapokea mkopo wake ndani ya dakika 45.VIWANGO VYA MKOPO NI KUANZIA SHILINGI NGAPI?
Mortgage rates are from many shillings?
Viwango vilivyopangwa kwa mwanachama mpya ambae hajawahi kuwa mshirika katika mikopo hii anaruhusiwa kuanza kukopa kuanzia Tshs. 200,000 (LAKI MBILI) mwisho wa kukopa ni Tshs. 5,000,000 (MILLION TANO)MTEJA ATAPATA VIPI MKOPO WAKE BAADA YA KUJAZA FOMU NA KULIPIA MALIPO YA UANACHAMA?
How the client will receive its loan after filling the form with payment to pay membership?
utaratibu wa mteja kupokea mkopo wake baada ya kujaza fomu na kulipia ada unategemea na kipengele cha upokeaji mkopo kilichopo katika fomu, katika fomu yetu kuna kipengele kinacho muuliza mteja kuchagua njia ya kutumiwa mkopo wake. Mteja atachagua njia sahihi ya kutumiwa mkopo wake tuna tuma mkopo kwa TIGOPESA, M-PESA au BANKI hivyo mteja atachagua njia anayotaka atumiwe mkopo wake. Mteja atakae omba mkopo kuanzia laki mbili mpaka million 3 atatumiwa mkopo wake kupitia M-PESA au TIGOPESA mkopo kuanzia million 4 mpaka million 5 mteja atatumiwa kwa njia ya BANKIMTEJA ATAKAE JAZA FOMU NA AKALIPIA MALIPO YA UANACHAMA IKATOKEA HAJAPATA MKOPO WAKE ATATUPATA VIPI?
Customer will stay and fill in paying premiums appeared membership has not received its loan will finds us how?
Ulinzi wa mteja ni kitu muhimu kwetu hasa katika upande wa uaminifu wetu na mteja. Baada ya mteja kujaza fomu yetu na kulipia malipo ya uanachama tunawajibika kumtumia mkopo wake wa pesa ndani ya dakika 45 tu! Kuwepo kwa dakika 45 za mteja kupokea mkopo wake tumepanga dakika hizi ili kumfanya mteja asiwe na hofu yoyote juu ya kupata mkopo wake dakika 45 hazitozidi kwa mteja aliekamilisha taratibu zetu zote.Ikitokea mteja amekamilisha taratibu zote za kujaza fomu na kulipia ada na hajapokea mkopo wake wa pesa ni rahisi kutupata kupitia wawakilishi wetu walio katika nchi yake. Kwa mtanzania ambae atakua hajapokea mkopo wake na amekamilisha taratibu zote anaweza kuwasiliana na uongozi wa BANKI ya BARCLAYS nenda katika tawi lolote la BARCLAYS kwa malalamiko au kwa msaada wowote ule pia unaweza ukawasiliana na muwakilishi mkuu ambae ni mkaguzi wa huduma zetu kwa upande wa Tanzania anaitwa Mr. Samuel Diego Manager mkuu wa Bank ya BARCLAYS endapo kama utakua haujapokea mkopo wako au una malalamiko fika katika Tawi kuu la Bank ya Barclays lililopo Nkuruma street Mlimany City onana na Mr. Samuel Diego kwa msaada kama upo Tanzania
IKITOKEA MTEJA TUMEMPATIA MKOPO AKASHINDWA KUREJESHA TUTAMPATA VIPI?
Coming from the client we give loan he could not repay what we found?
Mteja ana haki ya kutushitaki katika ngazi za sheria endapo kama matarajio yatakua yakitapeli mara baada ya kujaza fomu nakulipia ikatokea hajapatiwa mkopo pia nasisi tunayo haki ya kumshitaki na kumchukulia sheria mteja ambae ataenda tofauti na matarajio yetu katika ulipaji wa mkopo tutakao mpatia.Kwa mtazamo wa haraka mteja anaweza kudhani ni rahisi kujiunga na kupewa mkopo kisha akakimbia bila kufanya marejesho kwa kudhani hatutoweza kujua sehemu alipo na makazi yake ya kudumu.
SECURITY: kabla ya mteja kufikiria kufanya utapeli wa aina hii kuchukua mkopo na kukimbia inabidi atambue kua mtandao huu upo chini ya ulinzi wa camera za CCTV Flash Website ambazo zina sense paji la uso la mteja kwa kuhifadhi flash ya kimvuli cha uso wakati unapitia maelezo haya na kuhifadhi katika CCTV sattelite webpage pia inabidi mteja atambue kua Computer au simu anayotumia wakati huu inasoma IP adress na ku-trace eneo ambalo yupo kwa muda huu. Hatua ya mwisho ambayo mteja ni rahisi kumpata ni kupitia SIM CARD (laini) yake ya simu atakayotumia kufanya malipo ya ada kwa M-PESA au TIGOPESA kampuni ya simu hutuma data kamili za mteja ikiwa ni mawasiliano yake yote na watu wake wa karibu ndugu, jamaa au marafiki na kupata matumizi yake yote ya laini anayotumia katika mawasiliano kuturahisishia sisi kutoa taarifa katika vyombo vya usalama na kuwakamata watu wa karibu anao wasiliana nao ili kumpata kwa urahisi.
HAKIKISHA ULINZI?
Ensure Protection
SECURITY ALERT.
Unaweza kujaribu ulinzi wetu na kutambua jinsi tunavyoweza kukupata popote pale ulipo kupitia Mtandao.
TAARIFA ZAKO KAMILI
TAARIFA ZAKO KAMILI
Hello, visitor from: , Tanzania, United Republic of
|
| Your Country Code: TZ |
| Your IP State: |
| Your IP Address: 197.215.242.165 |
| Your Hostname: 197.215.242.165 |
| Your ISP: |
| Your Organization: |
MIC Tanzania Limited - Kampuni ya TIGO
VTL - Kampuni ya Vodacom "Vodacom Tanzania Limited (VTL)"
VTL - Kampuni ya Vodacom "Vodacom Tanzania Limited (VTL)"
MTEJA ASIPO REJESHA MKOPO ATAPEWA ADHABU GANI?
Refund the customer explains how the loan will be given punishment?
Mteja atakae jiunga na kupatiwa mkopo sharti ni lazima arejeshe mkopo atakao kopeshwa ndani ya muda muafaka uliopangwa endapo kama mteja ataenda kinyume na makubaliano akashindwa kurejesha mkopo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake adhabu kali itatolewa kwa mujibu wa katiba ya mwanachama atakaepatiwa mkopo na kushindwa kurejesha tutakapo mkatamata mteja ambae ameshindwa kurejesha mkopo atashitakiwa na kutozwa faini isiyopungua Million 5 au kutumikia kifungo kwa kesi ya udanganyifu na kukimbia na mali ya kampuni.Marejesho ya mkopo yatalipwa kwa njia ya M-PESA katika namba 0762 764 322 au TIGO PESA katika namba 0715 552 098 au AIRTEL MONEY katika namba 0784 492 321 marejesho ya mkopo yanafanyika kila mwezi
Baada ya mteja kujaza fomu zetu na kulipia malipo ya uanachama akapatiwa mkopo atatakiwa akae miezi mitatu akizungusha pesa tutakayompatia ili izalishe faida na kupatikana kwa marejesho yetu atakaa miezi mitatu bila kufanya marejesho baada ya miezi mitatu kupita mteja anatakiwa kuanza marejesho mwezi unaofatilia kila ifikapo tarehe moja mteja anawajibika kurejesha shilingi laki moja kupitia M-PESA au TIGOPESA kila mwezi anarejesha laki moja mpaka deni lake litakapo kwisha
MFANO: Umekopa Tshs. 3,000,000 (Million Tatu) utatakiwa kurejesha kila mwezi laki moja kwa muda wa miezi 30 ukipiga hesabu laki moja zidisha kwa thelathini unapata Shilingi million tatu. Marejesho yanafanyika kila mwezi tarehe 1
MAREJESHO YA MKOPO
Repayment of loan
Marejesho ya mkopo yatalipwa kwa njia ya M-PESA katika namba 0762 764 322 au TIGO PESA katika namba 0715 552 098 au katika AIRTEL MONEY namba 0784 492 321 marejesho ya mkopo yanafanyika kila mweziBaada ya mteja kujaza fomu zetu na kulipia malipo ya uanachama akapatiwa mkopo atatakiwa akae miezi mitatu akizungusha pesa tutakayompatia ili izalishe faida na kupatikana kwa marejesho yetu atakaa miezi mitatu bila kufanya marejesho baada ya miezi mitatu kupita mteja anatakiwa kuanza marejesho mwezi unaofatilia kila ifikapo tarehe moja mteja anawajibika kurejesha shilingi laki moja kupitia M-PESA au TIGOPESA kila mwezi anarejesha laki moja mpaka deni lake litakapo kwisha
MFANO: Umekopa Tshs. 3,000,000 (Million Tatu) utatakiwa kurejesha kila mwezi laki moja kwa muda wa miezi 30 ukipiga hesabu laki moja zidisha kwa thelathini unapata Shilingi million tatu. Marejesho yanafanyika kila mwezi tarehe 1
JINSI YA KUJIUNGA UWEZE KUPATA MKOPO
How to subscribe you can get a loan
Kwa mteja mpya ambae anahitaji kujiunga ili aweze kupata mkopo anatakiwa kukubaliana na masharti yetu binafsi na awe tayari kukamilisha taratibu zetu tulizozipanga!Kujiunga ni rahisi sana mtanzania yoyote mwenye vigezo anaweza kujiunga kwa kujaza fomu yetu HAPA na akaituma kwetu kupitia mtandao huu fomu yake tutaipokea atatakiwa kulipia malipo ya uanachama kiasi cha Tshs. 83,000 (ELFU THEMANINI NATATU) tutaidhinisha maombi yake na kuhakiki fomu yake na ataupokea mkopo wake ndani ya dakika45 bila kucheleweshewa.
Malipo ya Uanachama yatalipiwa kupitia M-PESA katika namba 0762 764 322 au TIGOPESA katika namba 0715 552 098 au kupitia Airtel Money katika namba 0784 492 321 ni lazima kwa mteja anaejaza fomu kulipia malipo ya uanachama ili apatiwe mkopo wake.
JIUNGE HAPA UPATE MKOPO
Register here get a loan
Ili uweze kujinga upate mkopo unatakiwa kujaza fomu yetu, Tafadhali bonyeza Link / kimvuli kifuatacho chenye rangi ya bluu hapa chini kimeandikwa "FOMU YA MAOMBI YA KOPO" uweze kujaza fomu na ukishajaza fomu utaituma kwetu na utatakiwa kulipia malipo ya kujiunga uanachama.