Utapeli Mpya Mjini!

Kwa nijuavyo mimi huyo kuna namna huyo tapeli ameshika simu kabla ya siku ya kumtapeli
Either alimuomba salio au namba ya simu,
Vyovyote vile kuna siku tapeli alishika simu yake akasevu namba yake kwenye hio simu yale kama alivyokusevu wewe
 
hata mimi nimeshangaa, yaani sms ya maelekezo imetumwa remotely kutokea kwenye simu yake hapa hili tatizo haliwahusu watu wa mtandao hapa ni yeye tu simu yake imedukuliwa.

Huu ni utapeli tu wala sio wizi.
Na huyu ni member maarufu tu humu ila kaja na taarifa ambayo huenda hata yeye hajaielewa
 
Imemzidi akili Hadi Mungu na Shetani
 
Yaani dada wa kazi hajui jina la Boss wake????

Hii ni chai Jaba, kilele cha ubora
 
Aisee pole, mara nyingi wanasema usifungue link hizi unazotumiwa na watu usiowajua au zile zinazo pop up ukiingia kwenye browsers
 
Nilituniwa similar SMS kutoka namba ya mtu niliyemfahamu fika.

What I did niliamua kumpigia angalau kujiridhisha kwa sauti yake kwamba ni yeye kweli.

Baada maongezi mafupi including kujibu maswali ambayo AI isingeweza ku-predict nilithibitisha kweli ni yeye alituma ule ujumbe.

Watu waejielimishe angalau basic skills za kudetect fraudulent communications badala ya kukumbilia kurespond hasa masuala ya fedha au taarifa nyingine nyeti.
 
SAwa, MIMI SIYO IT EXPART, natamani kurekodi video nielezee, nimeshindwa kupangilia tukio, mwishowe nimeripoti polisi, the rest is story,
Pole kwa majanga lakini naomba nikuulize!

Ulitoa wapi nguvu na muda wa kwenda kwa hao jamaa hapo nilipo-bold baada ya kuwa umeshaibiwa?
 
Juzi wife kapigiwa simu na watu wa shabiby line kwamba mzigo wake umefika wakamtumia na sms kuwa mzogo umefika bahati nzuri hiyo simu aliipokea akiwa bize ko akahisi ni matapeli akaja kuniuliza mimi jioni nikamwambia hao ni matapeli akasema soma hii sms

Kuangalia sms imeandikwa shabiby line ni kama zile sms za vodacom ambazo huja na majina na ujumbe unasema parcel imefika na namba za mzigo zipo, nikasema labda wahuni wamesevu namba zao kwenye simu yake nikaangalia sikuona kitu

Nikamwambia achana nao, maana mimi na yeye hatuishi dodoma ila nilishangaa sana sms ina kuja kwajina la shabiby line

HIi imekaaje?
 
Siku hizi wanaweza clone (kukopi) sauti yako, ukipiga huwezi kujua tofauti
Unamchapa maswali mawili matatu ambayo ni very unique. Mfano, jana ulisema nichukue shilingi ngapi kwa nani?

Halafu unasikilizia sauti, majibu na consistency ya maongezi. Hapo hakuna AI itatoboa.
 
Kaka, serikalini kumejaa sana wezi.
 
Siku 3 zilizopita kuna majaa yangu tunapiga story mara zikawa zinaingia sms kwenye shmu yake kuangalia ni bustisha wanamwambia amefanikia kukopa mara hera ikahamiswa na kwenye namba asee tulishangaa sana

Tulipo wapigia huduma kwa wateja wakadai mtandao wao unachangamoto tusubiri baada ya masaa 24 mpaka saiv jamaa anadaiwa hela ambayo hajaikopa
 
Kuna siku nilikuwa na kiasi kikubwa cha Pesa kwenye Halo-Pesa ghafula nikapigiwa na Namba ya halotel jamaa anajitambulisha Yuko Makao Makuu kwamba akaunti yangu iko hatarini kuibiwa Hela zote na akaanza kunipa maelekezo ya bonyeza wapi na wapi na sikutekekeza kila anaponiuliza na jibu tayari kila hatua.Mwisho wa mazungumzo nikacheki balance nikaambiwa akaunti yangu imefungwa Ni kapiga 100 wakaniambia ulikosea pass word Mara 5.Wakaniomba NIDA wakafanya yao kucheki mzigo uko salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…