Utapeli kwenye uchawi na hatua za kuchukua

Nikamjibu sina hela, bank nilikwenda kulipia maji. Akauliza ni kitu gani cha thamani kipo nyumbani nikalete ili aniombee? Pia atafanya dua dada hatojua kama kitu hicho kimeondoka, nikamjibu ni gari hivyo atulie nikalilete. Nilivyoondoka nilicheka jamani, nikafika home nikamsimulia sister daaah🙆‍♂️🙆‍♂️
Inasemekana matapeli wa hivyo huwa wanapumbaza akili za watu ili uweze kuwasikiliza na kufanya wanachokwambia..
 
Yawezekana aiseeeh! Maana tulichukua muda na waliponiomba niwasindikize ni mbalii🙆‍♂️
Una bahati sana mkuu, watu washalizwa sana namna hiyo mtu anaambiwa kabisa aende ndani akachukue kitu cha thamani anaenda kuchukua na kuwapa mpaka baadaye akili ije kukawa sawa ndio anaona ujinga aliyoufanya.
 
Niliekezwa nikafate dawa akaanza kunipigia ramli 😀😀nilimtukana akatishia kuniroga nikamwambia silogeki ila uongo sitaki et nimerogwa na watu 6 wazee wawili ndio maana naumwa umwa nikamwambia wataje hao watu majina akadai hawez sio sheria nikasema huyu atanichonganisha na bibizangu asinizoee mshenz mmoja nikamwmabia ela silipi nikamblock😂😂😂
 
Nikiwa Alevel niliagizwa bank kulipia maji. Wakati natoka kuna dada akanidaka na kuanza kuniongelesha huku akiulizia sehemu niliyokuwa naifahamu. Nikamjibu napafahamu, akaniomba nimsindikize ili ampeleke kuna kaka alikuwa nae.

Nikawa nawasindikiza huku njiani tunazungumza. Yule kaka akaanza kujieleza kuwa ni mganga anatokea Tanga na mamno kibao. Mara yule kaka akaanza kuniuliza naishi wapi na najishughulisha na nini. Nikamwambia mie nipo nipo tu sina shughuli ya maana ni house girl kwa dada yangu.

Akaniomba kiganja aone anisomee nyota. Mara akaanza kuniambia nimelogwa na dada yangu kwa kunichimbia hirizi mlangoni ili nisiweze kuendelea na niendelee kuwa house girl wake. Nikajichekea kimoyomoyo maana dada yangu ndiye aliyekuwa ananisomesha🤣🤣

Mara akaniambia nimpe hela aniombee dua ili aondoe nguvu ya hiyo hirizi. Nikamwambia mie sina hata mia, akauliza mbona nimetoka benki? Ndio akili ikanijia hawa waliponiaona natoka benki walijua nina kibunda wanitapeli, kumbe nilikuwa na jero tu ya nauli🤣
😂😂Kuna bint alifanyiwag hivi yeye alikuwa anauza duka la mtu walimteka wakaw wakisema kitu anafuata wakamwambia aende sehem visiga huko ndan wakatak kumbaka kukimbia ndio ilikuwa ponayake na alikuwa mjamzito yale madawa waliyojifanya wanampa mimba ikaharibika
 
alikuwa mjamzito yale madawa waliyojifanya wanampa mimba ikaharibika 🥺😪
 
Niliekezwa nikafate dawa akaanza kunipigia ramli 😀😀nilimtukana akatishia kuniroga nikamwambia silogeki ila uongo sitaki et nimerogwa na watu 6 wazee wawili ndio maana naumwa umwa nikamwambia wataje hao watu majina akadai hawez sio sheria nikasema huyu atanichonganisha na bibizangu asinizoee mshenz mmoja nikamwmabia ela silipi nikamblock😂😂😂
Hahahaha😂
 
Nilimwendea mmoja maarufu sana mitandaoni miaka hiyo..sikuwa na shida yoyote nilitaka tu kumu outsmart

Kufika nikakaribishwa chumba cha uganga baada ya mgonjwa aliyekuwepo kutoka
Akanielekeza niweke sadaka kwenye chombo nikaweka noti mbovu ya elfu 10.. Nilihakikisha anaiona

Kwa kawaida alipaswa kuikataa hakufanya hivyo.. Nikakaa kimya
Akaanza kupiga ramli mimi namuangalia tuu
Mara akainua usinga juu kama kunitisha kwamba sasa wanakuja ..😂
Nikamtopisha.. Nikamwambia amekosea taratibu kadhaa hivyo hawawezi kuja.. Akanitolea macho haamini anachokiona
Nikamwambia
1. Alikosea kupokea noti mbovu
2. Alipaswa kubadili vifaa tiba toka kwa mgonjwa aliyepita kuja kwangu maana matatizo hayafanani
3. Usinga ule alikuwa anaupepea ant clock wise🤣

Nikamwambia sasa tuanze zoezi akajifanya kupandisha mashetani
Mfukoni nilikuwa na simu la kichina nimeliweka mlio wa bundi Ila mkononi nilikuwa na kiswaswadu
Basi alipoanza kupandisha mashetani mimi kiaina nikapiga ile namba iliyopo kwenye simu ya kichina🤣 likatoka bonge la sauti la bundi😂😂😂😂
Yeye ndio aliniruka somersault na kuangukia sebuleni kisha akatimua mbio kali sana bila msuli na liboxer chafu limetoboka nyuma bonge la mtobo😂
 
😂😂Kuna bint alifanyiwag hivi yeye alikuwa anauza duka la mtu walimteka wakaw wakisema kitu anafuata wakamwambia aende sehem visiga huko ndan wakatak kumbaka kukimbia ndio ilikuwa ponayake na alikuwa mjamzito yale madawa waliyojifanya wanampa mimba ikaharibika
Duuuuh!🙆‍♂️🙆‍♂️
 
kula chumviiyamawe zaman nilikuwa naambiwa ogea nkaona manufayake nkasema shidann kama.majiyananilinda wacha nipige ingie kwa damu kabisaaaaaaa
 
Nilimwendea mmoja maarufu sana mitandaoni miaka hiyo..sikuwa na shida yoyote nilitaka tu kumu outsmart

Kufika nikakaribishwa chumba cha uganga baada ya mgonjwa aliyekuwepo kutoka
Akanielekeza niweke sadaka kwenye chombo nikaweka noti mbovu ya elfu 10.. Nilihakikisha anaiona

Kwa kawaida alipaswa kuikataa hakufanya hivyo.. Nikakaa kimya
Akaanza kupiga ramli mimi namuangalia tuu
Mara akainua usinga juu kama kunitisha kwamba sasa wanakuja ..😂
Nikamtopisha.. Nikamwambia amekosea taratibu kadhaa hivyo hawawezi kuja.. Akanitolea macho haamini anachokiona
Nikamwambia
1. Alikosea kupokea noti mbovu
2. Alipaswa kubadili vifaa tiba toka kwa mgonjwa aliyepita kuja kwangu maana matatizo hayafanani
3. Usinga ule alikuwa anaupepea ant clock wise🤣

Nikamwambia sasa tuanze zoezi akajifanya kupandisha mashetani
Mfukoni nilikuwa na simu la kichina nimeliweka mlio wa bundi Ila mkononi nilikuwa na kiswaswadu
Basi alipoanza kupandisha mashetani mimi kiaina nikapiga ile namba iliyopo kwenye simu ya kichina🤣 likatoka bonge la sauti la bundi😂😂😂😂
Yeye ndio aliniruka somersault na kuangukia sebuleni kisha akatimua mbio kali sana bila msuli na liboxer chafu limetoboka nyuma bonge la mtobo😂
😂😂😂😂Aisee
 
alikuwa mjamzito yale madawa waliyojifanya wanampa mimba ikaharibika 🥺😪
Yaani n alikuwa mtoto wa kiume mumewe alikuwa anashngaa mbona kuna simu akipigiwa mkewe anachanginyikiwa kazini kwake huko dukani alikoajiriwa hatulii walimuendesha had kuja kushtuka ameshachelewa
 
Back
Top Bottom