Utapeli kwenye uchawi na hatua za kuchukua

Utapeli kwenye uchawi na hatua za kuchukua

Nimekosa😂
Nikamjibu sina hela, bank nilikwenda kulipia maji. Akauliza ni kitu gani cha thamani kipo nyumbani nikalete ili aniombee? Pia atafanya dua dada hatojua kama kitu hicho kimeondoka, nikamjibu ni gari hivyo atulie nikalilete. Nilivyoondoka nilicheka jamani, nikafika home nikamsimulia sister daaah🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Mkuu hii optical illusion maan yake ni nn make umu kuna la saba failure
Maluweluwe ya Macho (Optical Illusions) ni hali ambapo unachokiona ni tofauti na uhalisia.
Hii hutokea wakati ubongo wako unapotafsiri vibaya taarifa unazopokea kutoka kwenye macho.
Hizi ni "mbinu" ambazo mara nyingi hutokana na ubongo kujaribu kuelezea uhalisia kulingana na vitu au mifumo unayoijua, au hitaji lake la kujaza taarifa zinazokosekana.

Aina za Kawaida za Maluweluwe ya Macho

Maluweluwe ya Kiuhalisia (Literal Illusions):
Haya hutengenezwa kwa kuunganisha picha nyingi ndogo ili kuunda picha moja kubwa ambayo inaonekana tofauti na vitu vilivyoiunda.

Maluweluwe ya Kifiziolojia (Physiological Illusions):
Haya hutokea wakati mfumo wa uoni wa ubongo unachochewa kupita kiasi na mwanga, mwendo, au rangi, na kuufanya uone vitu kama vile picha zinazobaki machoni baada ya kuangalia kitu (afterimages) au mwendo kwenye picha ambayo haisogei.

Maluweluwe ya Kitambuzi (Cognitive Illusions):
Haya yanategemea kile ambacho akili yako isiyo na fahamu (subconscious mind) inafikiria na jinsi inavyohusianisha vitu kulingana na uzoefu wako wa awali kuhusu ulimwengu.

Optic illusions (mauzauza) | Page 27 | JamiiForums Optic illusions (mauzauza)
 
Ukitaka kupata mganga hodari na wa kweli anzia mkoani kigoma,burundi, DRC,Congo Republic,Central Africa Rebublic, huko ndiko kuna waganga wa ndagu za mali, ukitaka kulogwa nenda tabora,mwanza,simiyu geita,sumbawanga,mpanda nk.
 
Back
Top Bottom