Utani huu vipi jamani?

Nenda uendako ila utarudi tu

Mfyuuuuu atarudi kwa nani? Ulivyokuwa unamkondesha kwa michepuko sasa kwangu kafika bibi. Namlisha tu wali na nyama 2 kg ananenepajee. Umkome laaziz wangu
 
Tell him barbie oooh. Mwanamke haelewi kama kuna kuachika. Wewe Khantwe kumganda hivyo hubbypti wangu ndo nini? Huna chako hapa, kasugue gaga hukoo
I love you baby njoo nikukumbatie kifuani tulale
 
Last edited by a moderator:
Tell him barbie oooh. Mwanamke haelewi kama kuna kuachika. Wewe Khantwe kumganda hivyo hubbypti wangu ndo nini? Huna chako hapa, kasugue gaga hukoo

Kumbe fitna zote zile ilikuwa unatafuta nafasi ya kujipenyeza?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…