Nimekuja mami nani tena analeta fujo nifanye mazoezi ya kulenga na ile AK47 yangu mpya?
Alafu my douta muulize mama yako Yule aliemchukulia sim ni KE au ME?
Heaven Sent why hujaniambia?
Yaani we mbeya
Me kila siku nilikuwa nakupa ishara lakini nikaona mwenzangu apeche alolo. Sijui alikupa limbwata la wapi ukakomaa wee na uchumba sugu. Huyo Khantwe ni fupa lilomshinda fisi, hafai kabisaaa yani bora tu ulivyommwaga. Nahisi alidhani ananiacha alone kwenye kamati kuu ya 30+ single ladies eeeh poyeeeeee
Haya my belovely father ngoja niongee nae, au atakua nanii yule alekuwa anamwita mom sweety.....
Afu dady mwenzio huyu anamsumbua mom
Sa kwa nini mgombane jamani? Unamaanisha we ulikuwa hujui kwamba nina mume?
Mimi mwenyewe nipo hivyo ila huwezi amini sikumfokea wala nini....nilifurahi tu kupata simu yangu niliyoamini imepotea
Sa kwa nini mgombane jamani? Unamaanisha we ulikuwa hujui kwamba nina mume?
Shem now nakomaa na wewe tu
Tatizo wewe nawe michepuko imekuzidi. Me sitaki stress, stress zangu za usingo maza zinanitosha
Anapiga kelele tu Huyo hamuwezi mama yako ata!
Yule zekidon ?? Yule simuoni siku hizi kumsumbua mama yako!
Sasa unadhani zitatokaje bila mimi
Yule alikimbia moto wako dadii.....
Ngoja basi nikufikirie eeeeh, ila huo muda uwe unanibembeleza wee