la Jeneral
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 392
- 57
ishu sio hayo yote ishu ni kuwa wewe ni aunt zubeda au?au wewe ni punga?angalieni izo avator zenu na maada mnazoleta jamvini vinginevyo mtaishia kupondana hapa weeee na kupeteza maana ya uzi mzimaKwani anaejiita njiwa yeye ndege.
Kwani anaejiita kongosho yeye ni kongosho
Kwan we ni default kweli.
Hakuna anaenipangia kwa hilo...changia mada then Sepa.
Wote humu mna ID za uongo na Picha za Uongo.we kwangu Ndo unaona pa kuuliza na mapovu juu.