LeopoldByongje
JF-Expert Member
- Apr 28, 2008
- 372
- 13
Siyo uchafu huo,hutokea pale msichana anapokaa muda mrfu bila kusex,ila kama ana sex mara kwa mara huwa hauonekani.
Hii ni nadharia mpya ambayo inahitaji kufanyiwa utafiti ili kuthibitisha tafsiri hiyo. Nahis Sample size iliyotumika ni ndogo kutoa meaningful inteprretation.