Confession:UTANDO MWEUPE WAKATI WA KUJAMIANA-PART II

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Habari zenu Wana JF...

Leo nakuja kivingine tena na nimerudi tena kwenye mwendelezo wangu ule ule wa utando mweupe unaotoka wakati wa kujamiana.
no1.jpg
Nianze kwa kusema Hakika mapenzi ni matamu hakuna asiyelifahamu hili na mapenzi kwa kawaida hushirikisha vishiriki ngono kama kupapasana, kubusiana na hata mambo fulani ya kula koni na kuzama chumvini. Hakika uke ni sehemu muhimu sana ya mwanamke inayoweza kuamsha hisia za mwanamme wake ama kuzipoteza,kumthaminisha ama kumshusha dhamani endapo mwanamke atashindwa kujiweka katika hali ya usafi ama kukabiliana na matatizo ya kutokwa na uchafu ukeni. Hivyop kwa kutambua hili leo nimeamua kuandika mada hii ili kuwasaidia wale wote wenye tatizo kama hili.....

Kimsingi wanawake wote hutokwa na uchafu kidogo ukeni ambao ni mweusi kama maji, maziwa au njano ambao humfanya ama awashe au atowe harufu mbaya pale anaposhindwa kukabiriana na hali ya usafi wake. Hata hivyo, wanawake wengi kipindi cha ujauzito hukumbwa na hali hii mara kwa mara na huwashwa. Uchafu husababishwa na mambo mbalimbali ambapo mengi husumbua japo si hatari. Zifuatazo ni aina za uchafu ambao wengi huwakumba na jinsi unavyoweza kukabiriana na tatizo hilo.

Uchafu wa majimaji wenye rangi mchanganyiko wa kijani na njano au nyeupe.
Mwanamke aliyena tatizo la kutokwa na aina hii ya uchafu hujikuta ananuka na kujikuna sehemu zake za siri, na huu unawezekanai kuwa ni ugongwa wa Trichomos kwani pindi anaposikia haja ndogo hujisikia kuchomwa sana na maumivu ambapo wakati mwingine hujikuta anavimba.

Uchafu wa aina hii huonekana kama picha kushoto inavyoonyesha hivyo mwanamke ambaye atakumbwa na tatizo kama hili ni rahisi kumfanya mpenzi wake apoteze hamu ya kushiriki naye tendo la ndoa na kama ni mpenzi basi huweza kujikuta kila kukicha anashindwa kudumu na mwanaume kwani hukimbiwa kutokana na kushindwa kwao kukabiriana na tatizo hilo.

Endapo una tatizo hili ni muhimu sana kuhakikisha unaweka viungo vya uke wako katika hali ya usafi wa kutosha, na ni vema unaposafisha uke wako uhakikishe unatumia majiya uvuguvugu pamoja na siki au maji la limao yaliyochanganywa na maji ambapo unapaswa kutumia vijiko 3 vya siki kwenye maji lita moja yaliyochemshwa. Ni muhimu mgojwa asafishe uke wake mara moja hadi tatu kila siku mpaka apone!

Hata hivyio endapo tatizo hilo linakuwa kubwa, mgonjwa anapaswa kutumia dawa za kuchomeka ukeni ambazo zina metronidazole au dawa zingine zinazoshauriwa na trichomonas. Ikiwa hali mbaya sana anapaswa kumeza metronidazole kwa kiasi cha gram mbili [meza kwa mpigo].
no 2.jpg

Aidha, inawezekana kuwa mwanaume ana ugonjwa pia wa trichomonas ingawa hajisikii hali ya kuumwa hata kidogo hivyo endaapo mwanamke atarudiwa na ugonjwa huu mara baad a ya kujitibu basi anapaswa kurudia kumeza gram mbili za metronidazole, lakini ni kama ugonjwa huo mkubwa.

Uchafu ambao uko kama jibini au siagi na unanuka kama uyoga au mkate.
Hali hii inapojitokeza kwa mwanamke hujikuta anawashwa sana ukeni na midomo ya uke huwa na rangi nyekundu na huuma sana ambapo pindi mhusika napotaka kukojoa husikia maumivu makali sana. Hali hii huwakumba sana wanawake wajawazito pamoja na wale wenye ugonjwa wa kisukari, wale waliokuwa wakitumia antibiotics au vidonge vya kuzuia ujauzito.

Endapo una tatizo hili ni muhimu sana kuhakikisha unaweka viungo vya uke wako katika hali ya usafi wa kutosha, na ni vema unaposafisha uke wako uhakikishe unatumia maji pamoja na sikiau GV vijiko viwili kwa nusu lita au kutumia vidonge viwili vya nystatin vya kuchomeka ukeni au dawa nyingine ya thrush kama siyo kuweka maziwa mgando yaliyochachuka kwenye uke husemakana ni dawa nzuri ya kienyeji inayotibu tatizo hili.

ANGALIZO:Utando utokanao na kukaaa kwa muda mrefu kwa mwanamke kutojamiana huwa ni mweupe na huwa hauna harufu kama utando huo nilio ueleza hapo juu.Na huu hujitokeza siku ya kwanza ya mwanamke anapokutana na mwenzi wake na hiyo hudhihirisha kuwa chombo kilikuwa hakitumiki.Kwa mwanamke anaetokwa na utando huo mara kwa mara kila akutanapo na mwenzi wake ni wazi anatakiwa awaone wataalamu kama kutakuwa na dalili tajwa hapo juu.....

..............Sina Maaana mbaya kwamba utokapo safari na kukutana na mwenzi wako na kutokuta utando mweupe ni ishara ya kutumika kwa chombo nisieleweke vibaya.
 
nimeingia sijanywa chai! ngoja nisubiri chakula mchana
 
Asante sana kwa kutupa elimu i, ama kweli kuitwa mwanamke ni zaidi ya kuwa mwanamke, yatupasa kuwa wasafi,wenye kujichunguza wenyewe na kuwai matibabu mapema (majuto ni mjukuu).
 
Yanaudhi kweli yale maziwa ya mtindi kiasi kwamba ukibadilisha style au baada ya kumaliza kazi ngumu ukiangalia dush, elele imefunikwa na saruji kibaya zaidi unakuta mdada mzuriiiii anamiliki majanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom