Utamu wa penzi la mume wa mtu.

Bado sijamsikia Preta akipreta hapa :lol::eyebrows::embarassed2:

Atakuja tu usjali..
Kwa hiyo ulichokuwa unasema kwenye
Hizo picha ni kwamba watu wakisha ou au
Olewa huwa wanajiachia sana nikimaanisha
Hawajitunzi .. na wana nenepa hivyo .. sasa ushauri wako kwa ambao wako hivyo ni upi?
 
kwa nini mme wa mtu?
1) uzoefu wa maisha in general na wa 6x6 in particular
2) vihela vya kuhonga (mara nyingi wana stable income)
3) utulivu wa akili (hasa katika kusolve problems mf. in case of unwanted pregnancy etc)
4) hakubanibani kila wakati (unaweza kupanga wanaume wengine ukitaka)
 
Atakuja tu usjali..
Kwa hiyo ulichokuwa unasema kwenye
Hizo picha ni kwamba watu wakisha ou au
Olewa huwa wanajiachia sana nikimaanisha
Hawajitunzi .. na wana nenepa hivyo .. sasa ushauri wako kwa ambao wako hivyo ni upi?

Jaribuni kubakia (japo si sana) na hali mlokuwa nazo wakati mkitongozwa kabla ya kuolewa
 
Kwa hiyo ukiwa umeoa na ukiba mke wa mtu inakuwaje?

Tamu kweli, unajuwa ukifanya hizi ngoni za kuiba kuna makemikali anajitengeneza mwilimi na shetani anakuwa karibu basi mambo yanakuwa mazuri sana, wewe hujuwi kuwa vitu vyote vizuri ndio shetani anakuwa karibu.
 
Aisee....niko kwenye mwaibula siti moja na mrembo...ngoja nishukie sayansi kama ndio hivyo
 
Nisababu zipi? zinazofanya, shii amutamani mume wa mtu
na kumuganda au kunghanghana nae?

hapo kwenye "red" mara nyingi huwa ni mahusiano ya kujikimu (subsistence affair/relationship), si kwa kupenda bali ni ujasiliamali tu!
 
Yaone........kulakula kila saa........TV kwa wingi....no time for faza house

overweight-woman.jpg

dah wakati mwingine ni vitamaa tu vinawasumbua
mwanamke anaweza kuwa na sifa zote kuanzia urembo,mapishi mpaka kunako mambo ya room six x six xx ...
Lakini akina nyie jicho likiona limetamani .....baada ya hapo unapanga mashambulizi
Kwanini??
 
Kama ulikuwa mwembamba ukaolewa ukabadilika kutokana na vitamu ukawa tipwa tipwa kunako 6x6 utaweza wapi?
 
Back
Top Bottom