Utamu wa penzi la mume wa mtu.

jompyain

Member
Feb 15, 2012
29
0
Nisababu zipi? zinazofanya , shii amutamani mume wa mtu
na kumuganda au kunghanghana nae?
 
seniorita

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
674
0
tueleze wewe mleta hoja, nadhani una experience or umeshatafakari vya kutosha kabla hujaposti hii hoja....:eyebrows:
 
Daffi

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
3,827
2,000
Naona kama vile inahusu wanawake,ngoja nisepe zangu!tchao
 
Tata

JF-Expert Member
Dec 3, 2009
5,640
2,000
Subiri wanaowagada na kuwanghanghania waume za watu wakupe uzoefu. Kama wanakuminyia wewe fanya utafiti binafsi.
 
WILSON MWIJAGE

JF-Expert Member
May 30, 2011
276
0
Ndugu,

Japo sijui kwa undani ila nahisi zifuatazo ni sababu
1. Mme wa mtu inawezekana ana pesa kuliko mme wake - maana wake wa siku hizi wanataka pesa
2. Mme wake akawa hamtosherezi kimapenzi (kingono) ila huyo mme wa mtu anamfikisha
3. Yawezekana hakuna maelewano ndani, hivyo huyo mke anaona ni bora ajitulize huko
4. Yawezekana mme wa mtu akawa anamsikiliza na kiumjali kuliko mme wake
5. Yawezekana akawa na fikra potofu kwamba penzi la kuiba ni tamu na;
6. N.K, N.K,
 
Eliza wa Tegeta

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
251
0
Let me tell you something Boy,
Mume wa mtu anasikiliza kwasababu he is not responsible in addressing your blah blahs

He gives an ear to listen, while his thought is right between your legs.
Tell him whetver you want, he will then Fack you and get his sorry a*s back to his wife and kids!~!
Ndugu,

Japo sijui kwa undani ila nahisi zifuatazo ni sababu
1. Mme wa mtu inawezekana ana pesa kuliko mme wake - maana wake wa siku hizi wanataka pesa
2. Mme wake akawa hamtosherezi kimapenzi (kingono) ila huyo mme wa mtu anamfikisha
3. Yawezekana hakuna maelewano ndani, hivyo huyo mke anaona ni bora ajitulize huko
4. Yawezekana mme wa mtu akawa anamsikiliza na kiumjali kuliko mme wake
5. Yawezekana akawa na fikra potofu kwamba penzi la kuiba ni tamu na;
6. N.K, N.K,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom