Utamu wa penzi la mume wa mtu.

dah wakati mwingine ni vitamaa tu vinawasumbua
mwanamke anaweza kuwa na sifa zote kuanzia urembo,mapishi mpaka kunako mambo ya room six x six xx ...
Lakini akina nyie jicho likiona limetamani .....baada ya hapo unapanga mashambulizi
Kwanini??

Soma post #33
 
Dogo ujajua tu mi napiga kotekote mpaka vi GF vyenu vinatupenda kweli eti vinasema hatuna longolongo!

Sikatai nyie si mnajua sana kunyoosha mikono alafu mnaacha watoto wenu wanalala kwa kula ugali maharagwe wkt hivyo vinyumba ndogo vikila kuku kwa mrija.
 
haha Fidel80 hizi habari za kuwa tipwa tipwa mie hata sitaki kuzisikia kwani hakuna diet ,tunaenda sambamba

Ukijiachia ndo unakuwa tipwa tipwa kwa kula vinono na siku hizi wanawake wanakula kama wanaume ngoma droo hata kunywa sasa mwanamke unatoka kitambi kama mwanaume mpaka mwanaume afikie uzima yupo hoi maana tumbo linazuia kufika kunako
 
Sikatai nyie si mnajua sana kunyoosha mikono alafu mnaacha watoto wenu wanalala kwa kula ugali maharagwe wkt hivyo vinyumba ndogo vikila kuku kwa mrija.

Siku moja moja wanapiga beans mzee apumzike!!

Ngoja nikupe issue kwamba vi GF vinapigwa na madingi noma! mwaka mpya nilienda mkoa kuna mtu mshikaji ambaye kama vile 46 na ushee tena boss mkubwa tu!! alinipigia CM akiniuliza kama nipo mkoa nikasema ndio, akaniambia kuna mdada naomba mpe 3M alienda likizo uko kaishiwa nikamwambie ampe my no. Ebana nilivyopigiwa na kukutana na sister du! noma alafu kinaniuliza babe wangu amesema nichukue mzigo kwako!!

Fidel mnapigiwa mbaya!
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa blog hii kupitia kwa mama chanja. Sijawahi kuwa mwanachama hapa. Kuna tabia inanikera ambayo nilimuomba aikemee lakini akakataa kata kata kwa kuogopa kutengwa. Tabia hii ya wake za watu ama waume za watu ambao waliwahi kuandika wamo kwenye ndoa. Hawa wameanzisha tabia ya kujionyesha wamo kwenye mapenzi motomoto na kuitana majina ya kimapenzi na wapenzi wao bila hata kuonyesha woga wa kuwemo kwenye ndoa. Pia baadhi ya marafiki zao huwapongeza hadharani kwa kuwemo kwenye mapenzi motomoto. Sijui kama uongozi wa blog hii unakubaliana na tabia hii ya kuifanya iwe kama danguro kwa waliomo kwenye ndoa kuonyesha mapenzi moto moto hadharani. Kama uongozi wa blog hii unaona athari ya tabia hii chafu ya wake za watu na waume za watu kujianika hadharani na mapenzi ya nje ya ndoa, basi uongozi uzuie tabia hii haraka sana kabla haijawa tatizo kubwa kupita kiasi.
 
Aisee hii sio blog hii........halafu karibu sana na soma hapa kabla hujaanza kuchangia ​JamiiForums Disclaimer and Rules
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa blog hii kupitia kwa mama chanja. Sijawahi kuwa mwanachama hapa. Kuna tabia inanikera ambayo nilimuomba aikemee lakini akakataa kata kata kwa kuogopa kutengwa. Tabia hii ya wake za watu ama waume za watu ambao waliwahi kuandika wamo kwenye ndoa. Hawa wameanzisha tabia ya kujionyesha wamo kwenye mapenzi motomoto na kuitana majina ya kimapenzi na wapenzi wao bila hata kuonyesha woga wa kuwemo kwenye ndoa. Pia baadhi ya marafiki zao huwapongeza hadharani kwa kuwemo kwenye mapenzi motomoto. Sijui kama uongozi wa blog hii unakubaliana na tabia hii ya kuifanya iwe kama danguro kwa waliomo kwenye ndoa kuonyesha mapenzi moto moto hadharani. Kama uongozi wa blog hii unaona athari ya tabia hii chafu ya wake za watu na waume za watu kujianika hadharani na mapenzi ya nje ya ndoa, basi uongozi uzuie tabia hii haraka sana kabla haijawa tatizo kubwa kupita kiasi.

Aisee hii siyo blog bwana hebu soma hapa JamiiForums Disclaimer and Rules kabla hujaanza kupost
 
Tabia hii ya wake za watu ama waume za watu ambao waliwahi kuandika wamo kwenye ndoa. Hawa wameanzisha tabia ya kujionyesha wamo kwenye mapenzi motomoto na kuitana majina ya kimapenzi na wapenzi wao bila hata kuonyesha woga wa kuwemo kwenye ndoa

flirting? anyway, this is food for thought...
 
Lakini haimaanishi ndio tuwahukumu kwa kutoka nje ya ndoa, ongea na mkeo ajiweke sawa. Si kwamba mwanamke wa nje anakung'ang'ania wewe bali anang'ang'ania pesa zako.

hivi wanawake wembamba ndo watamu sana au ni nini, yaani mtu utamkuta busy anajikondesha ili awe mwembamba khaaaa watu wanaishi kwa ajili ya wengine sio kwa ajili yao
 
Kazi ipo...utamu si ule ule...ni wivu tu unaowafanya watu wasitake kujichomoa. Kwanini asiwe wangu jumla jumla?
 
sasa hapa niseme kwanini waume zetu wanapendwa ?mh!ngoja nihamie kule kwenye mapishi,mkishamaliza ntakuwa nishamaliza kukaangiza,kufanya usafi chumbani kwangu,kupanga nguo kabatini,kusimamia miradi,kumuandalia maziwa ya moto yaliyokuwa blended na tende plus kitafunio cha karanga za mayai na kujipara kwa wanja wa kungu,udi wa mombasa kisha nijitie wanda zurriii na kikuku cha kishkaji mguuni akirudi anikute nameremeta af tuone kama kesho hujaja na thread inasema ''hivi kwanini waume za watu hawawaachi wake zao hata kama wanakwambia we mtamu"
 
Back
Top Bottom