Utamu wa mwanamke ni upi?



Santeeeeeeee
 
Already forgiven
 
Pole sana njoo kwangu bibie hutajutia hata kama una watoto watatu mimi nitakaa nao tuu, ili niyapate mahaba ya chini ya mbalamwezi
Big gun vuta subira kidogo, mwezi wa sita sio mbali kuna warembo wengi sana watakuwa wanamaliza vyuo, jikoki kisawasawa, jibebee mmoja
 
Tafsiri ya hapo kwenye rangi please! Umeniacha kwenye mataa 😜

Kama ulimtoa humu JF basi andika maumivu maana humu kumejaa vito.mbi...angalia mada zao .badilisha kiwanja best..
 
Ma mdogo umezingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hawa uzao wa Adam.. Hata uwape vyote hivyo na ziada ya matundu yote saba... Bado hawatariridhika.... Kumbuka mfalme Suleiman alibarikiwa hekima na utajiri na wake wa ndoa 300 lakini bado akaongeza masuria 3000....

Jr[emoji769]
matundu 7???
pua 2, masikio 2, jicho la nyuma, papuchi, mdomo=7???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hawa uzao wa Adam.. Hata uwape vyote hivyo na ziada ya matundu yote saba... Bado hawatariridhika.... Kumbuka mfalme Suleiman alibarikiwa hekima na utajiri na wake wa ndoa 300 lakini bado akaongeza masuria 3000....

Jr[emoji769]
soma biblia mkui inaonyesha umeegemea kwenye ndumba...
kuhusu Suleimani umeteleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibie,..utamu wa mwanamke ni mkiwa wanne na mnaelewana vizuri na hamna figisu na mko pamoja bila vijembe, hapo ndipo mwanamume ataridhika, na hichi kitu hamkiwezi ndo maana wanaume hawaelewi mnachokitaka haswa ni nini.
 
Damu ya mwanamme inamtosha kutumika kwenye kichwa kimoja tu kwa wakati mmoja, nae anavichwa viwili. Kikitumikia kichwa cha chini cha juu hakifanyi kaz ili kumdhibiti kisawasawa inabidi uelewe nini cha kufanya damu iwe inatumikia kichwa cha chini kwa muda mrefu unapokuwa nae.

Ukiweza hilo hawana ujanja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…