Swali zuri sana hili, naona wakereketwa wanajaribu kulikwepa.Kwani huyo mke alilazimishwa
Kuna wakati mwingine mfumaniaji hugeuziwa kibao, halafu inavyoonekana umdau mzuri wa mtandao pendwa naona hoja zako zote zimeegemea adhabu hiyo tu. Kwanini usimpeleke kwenye vyombo vya dola?mimi ningembaka na yeye kwanza halafu kakosea hizo nguo za juu za nini.
Nimekupendaje wewe na hoja yako.mke wa mtu sumu........................na mume wa mtu maziwa tuu daah!
Hiyo ni kweli kabisa lakini huyo huyo ni Mungu yupi?ha ha ha hata wachawi huwa wanamuomba huyo huyo wakati wanajiandaa kwenda kuloga
Kuna huyu mwingine alikula vya watu, wenyewe wakamshughulikia kwa remote control;..haya wale wenye tabia na hulka hizo wajionee mambo sasa! ACHENI KULA VYA WATU MTAKUFA SIKU SI ZENU JAMANI!!!eeh!hii pia ipo applikabo hata kwa sisi AKINADADA...tukumbuke MUME WA MTU NI SUMU...mtaja fyekwa na akina Munisi na Mushi...shauri yenu!
Sababu nyingine?hiyo ni moja ya sababu
Kuna huyu mwingine alikula vya watu, wenyewe wakamshughulikia kwa remote control;
Sister unakataaa au unashangaa?hapana......dah
Sister unakataaa au unashangaa?
Poleee...lakini habari ndiyo hiyo.hata sijielewi niko wapi.....aisee
ni aibu kwa aliyefumaniwa , mke wa aliyefumania na mwisowe ni aibu pia kwa mwenye mali kuwa alimegewa live.............
full kujidhalilisha................
Poleee...lakini habari ndiyo hiyo.
Kuna huyu mwingine alikula vya watu, wenyewe wakamshughulikia kwa remote control;
sure nilishawahi, sanaaa tu.
Hasa maembe na mapera shambani kwa jirani
lakini kuna cha kujiuliza upande wa pili wa shillingi!!mfano akijiuliza tu "hivi mke wangu alirazimishwa?"-muda mwingine ni viherehere vyao na udhaifu wa mume wake!!
Kwa kukuongezea tu hapa,
mume wa huyo mama ni bosi mahali fulani hadi ile ya munisi anaimiliki,
mama kila kitu na hela hazipungui.
Jamaa ni mchoma chips mtaani kwao;
........... Ina maana mama alikuwa hashibi home...........
Kwa hali hii ina maana mama ndiye wa kulaumu maana kamwalika jamaa aje kumpatia anavyokosa kwa mume!
Hapana wa kumlaumu ni mume ambaye alikuwa hampi mkewe chakula akashiba.