Utamu wa Mke wa Mtu ni balaa

Utamu wa Mke wa Mtu ni balaa

Aibu ya kujitakia, kuna wanaume huwa wanona sifa kutembea na wake za watu tena hukaa na kujisifia siiku yakiwakuta kama ya huyo jamaa ndio watakoma.

badala ya kulaumu wake wenzenu kwa kujirahisi nyie mnalalamikia wanaume wanaosukuma walioinama tayari!

acha kujirahisi jamani!
 
mke wa m2 hatari wewe bora uyo jamaa kapigwa hajaoteshwa pumbu ya 3
 
Attachments

  • Kansa ya pua.jpg
    Kansa ya pua.jpg
    18.3 KB · Views: 143
  • Mdomo wazi.jpg
    Mdomo wazi.jpg
    24.8 KB · Views: 169
Eeeh...huu mpira wa kulambana vichwa siyo mzuri tupia goli mashabiki washangilie
Mashabiki wenyewe wana vurugu kama wa Misri, TFF imewapiga marufuku kuingia uwanjani hivyo mechi inachezwa bila mashabiki mamito.
 
Mashabiki wenyewe wana vurugu kama wa Misri, TFF imewapiga marufuku kuingia uwanjani hivyo mechi inachezwa bila mashabiki mamito.

Mechi bila mashabiki haitanoga.....bora hata waingizwe watoto washangilie..:A S 39:
 
ata iwaje mke wa mtu ni mtamu tuu na bado tutaendelea kuwagegeda as long as they giving it up easily
 
Dah! jamaa atasimlia hadi vitukuu!, usiombe kukutwa!!
 
Weraaaa baba wa migegedo umekam.! Missing you unajua.!
 
Mkuu watu wengi weusi na akili zetu ni nyeusi, huu ni udhalilishaji mkubwa mno kwa binadamu yeyote DESPITE of the magnitude of his deeds!
Ni upumbafu kabisa huu

Bora nimekupata supporter for my statement, kuna ambao hawakuelewa nilichomaanisha, haohao hakuna walio kamili ambao hawatoki nje ya ndoa zao au nje ya mahusiano waliyonayo. Ni udhalilishaji NO matter what!
 
Mkuu ni wachache wenye muono huu
 
Back
Top Bottom