Ati!!!!!Ajali kazini...!
Usiombe hili likukute ... acha kutembea na wake za watu.
View attachment 123358View attachment 123359View attachment 123360View attachment 123361View attachment 123362
Usiombe hili likukute ... acha kutembea na wake za watu.
View attachment 123358View attachment 123359View attachment 123360View attachment 123361View attachment 123362
Unasema?always vya wizi ni vitamu
lakini kuna cha kujiuliza upande wa pili wa shillingi!!mfano akijiuliza tu "hivi mke wangu alirazimishwa?"-muda mwingine ni viherehere vyao na udhaifu wa mume wake!!
Aibu ya kujitakia, kuna wanaume huwa wanona sifa kutembea na wake za watu tena hukaa na kujisifia siiku yakiwakuta kama ya huyo jamaa ndio watakoma.
Hawana gharama, unaifaidi tu wa kununua sabuni na kuitunza yupo.Aibu ya kujitakia, kuna wanaume huwa wanona sifa kutembea na wake za watu tena hukaa na kujisifia siiku yakiwakuta kama ya huyo jamaa ndio watakoma.
Mtoa rushwa na mpokeaji wote Manzanyanza. Source: Baba wa Taifa.Vipi kuhusu wake wa watu wanaokubali kutongozwa na kukubali huku akijua ni mke wa mtu? kikubwa hapa mtu anapokuwa mke wa mtu ni kujitahidi kukaa mbali na mtu ambae unaona kabisa interest yake inaelekea kwenye kutaka kuchukua mzigo. Kikubwa hapo ni wote wana makosa na mwanaume atalaumiwa zaidi kama alikuwa anajua kabisa huyo ni mke wa mtu na mwenye mke (mumewe) anamjua kabisa lakini na yeye akamtokea au tutamlaumu mwanaume kama ameoa alafu tena anakwenda kwa wake za watu.
Haya mambo yapo complicated kuna mwanaume mwingine anaweza kamwona mrembo na yeye bado hajavuta jiko akajisogeza na binti hakuwa mkweli kwamba ana mume mwisho wa siku anakutwa na mke wa mtu hasa ukizingatia kuna wanaume au wanawake wengine ni ngumu kumjua kama ameo au ameolewa kwani hata pete hawavai na hata ukitumia uzoefu wa kumwangalia kwa vigezo vyetu vya mila na desturi pia anaonekana kama single.
All in all jamaa amepata kile ambacho amekusudia na aibu yake ni fundisho kwa wengine
atakuwa alimshawishi sana ndo maana akakubali.
Mtoa rushwa na mpokeaji wote Manzanyanza. Source: Baba wa Taifa.
Kuanguka kwa ndege hakufanyi wasafiri waogope kwenda Airport.Mtamuuuuuuuuuuuu awajakamatwa ila ukikamatwa na mwenye pampuchi yake utasahau na huo utamu....!!!
Usiombe hili likukute ... acha kutembea na wake za watu.
View attachment 123358View attachment 123359View attachment 123360View attachment 123361View attachment 123362
Umayonene...vipi hakupatikana wakubonyeza kupata namba ya maajabu?
Bila shaka washamtafuna kiboga huyo na kumpiga picha. Acheni wake za watu jamani, ivi ni tamaa au sifa za kijinga ??....mbona ma shawry warembo wako kibao tu walio single shida yote ya nn ?? Acha ainywe jeuri yake.