YouTube
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 936
- 362
subiru ugegedewe mkeo ndio utajuaNarudia kwa kusema kuwa: Sitetei tabia mbaya hii ya kutembea na mke/mume wa mtu, lakini imenikera kutembezwa uchi wa mnyama hadharani huyu mtu.
subiru ugegedewe mkeo ndio utajuaNarudia kwa kusema kuwa: Sitetei tabia mbaya hii ya kutembea na mke/mume wa mtu, lakini imenikera kutembezwa uchi wa mnyama hadharani huyu mtu.
nashukuru sijawahi hata kufikiria kufanya hiyo kitu.ila naipenda sana hiyo adhabu maana humfanya muhusika kujiua au kuhama mji kabisa.napenda kisasi sana.Kuna wakati mwingine mfumaniaji hugeuziwa kibao, halafu inavyoonekana umdau mzuri wa mtandao pendwa naona hoja zako zote zimeegemea adhabu hiyo tu. Kwanini usimpeleke kwenye vyombo vya dola?
lakini kuna cha kujiuliza upande wa pili wa shillingi!!mfano akijiuliza tu "hivi mke wangu alirazimishwa?"-muda mwingine ni viherehere vyao na udhaifu wa mume wake!!
Ni kweli ngoja tuwashauri watembee na wake za Nyani, tumbili, sokwe, simba, chui....nk maana dunia hii kila mwanamke na mwanaume ni wa mtu.Hili ni balaa na iwe funzo kwa wanaotembea na wake za watu........!!
Wengine tunaowaoa huwezi jua historia zao, wapo wanaotoka nje kufuata Kabaang, wanaogopa wakiomba nyumbani wataonekana wake wa ajabu.We kila uchwao una remote unaangalia isidingo tuuuu kwani huyo binti kafata kitanda! Shughulikeni nao haki hawatakuwa na hamu na mijamaa ya huko nje!
Dada jamiif bhana hujawahi kuishi maeneo ya Rukwa, Katavi, Tanga, Bagamoyo mlingotini nini?hee! mbona sijaelewa mkuu!!! kwa remote kivipi?wamemfanyeje?
Mkuu unamaanisha alikuwa hapati yale mambo ya jukwaa la kule chini kabisa?Kwa kukuongezea tu hapa,
mume wa huyo mama ni bosi mahali fulani hadi ile ya munisi anaimiliki,
mama kila kitu na hela hazipungui.
Jamaa ni mchoma chips mtaani kwao;
........... Ina maana mama alikuwa hashibi home...........
Wengine tunaowaoa huwezi jua historia zao, wapo wanaotoka nje kufuata Kabaang, wanaogopa wakiomba nyumbani wataonekana wake wa ajabu.
Wanawake eeeeeh mmemsikia happiness win anasema kama mmezoea kuliwa kabaang huko nyuma kabla ya ndoa na mnatamani kuendelea kupewa huduma hiyo msiogope kuwaomba Waume zenu.Ni vema kujua mkeo anataka nini, jaribu kuwa laini ukiwa naye ili awe huru kusema chochote anachotaka afanyiwe na hata kama huwezi kumfanyia mjibu kimapenzi tu sio kumkalipia; tofauti na hivyo ndio atakimbilia mtaani kufuata hiyo kabang
Dada jamiif bhana hujawahi kuishi maeneo ya Rukwa, Katavi, Tanga, Bagamoyo mlingotini nini?
Hapa sio mahala pake.Habari. Nauza Samsung Galaxy Pocket yangu. Ipo Vizuri na kila kitu kipo, kwa bei ya Laki 1 na elfu 20 tu (120k).
Nipo Mwanza,
Whatsapp - 0756851815.
Click here √
Simu inauzwa kwa bei nafuu.
Wanawake eeeeeh mmemsikia happiness win anasema kama mmezoea kuliwa kabaang huko nyuma kabla ya ndoa na mnatamani kuendelea kupewa huduma hiyo msiogope kuwaomba Waume zenu.
Kwa kuanzia milango yangu iwazi kusikiliza shida zenu kwa PM.
Habari. Nauza Samsung Galaxy Pocket yangu. Ipo Vizuri na kila kitu kipo, kwa bei ya Laki 1 na elfu 20 tu (120k).
Nipo Mwanza,
Whatsapp - 0756851815.
Click here √
Simu inauzwa kwa bei nafuu.
Wanawake eeeeeh mmemsikia happiness win anasema kama mmezoea kuliwa kabaang huko nyuma kabla ya ndoa na mnatamani kuendelea kupewa huduma hiyo msiogope kuwaomba Waume zenu.
Kwa kuanzia milango yangu iwazi kusikiliza shida zenu kwa PM.
We kila uchwao una remote unaangalia isidingo tuuuu kwani huyo binti kafata kitanda! Shughulikeni nao haki hawatakuwa na hamu na mijamaa ya huko nje!