Utamu wa Mke wa Mtu ni balaa

Utamu wa Mke wa Mtu ni balaa

Watu bwana!!Jamaa naona anajitaidi apate picha maeneo ya nyuma ya mfumaniwa hahaha!!! Mke wa mtu kweli sumu afu wenyewe wanasema mume wa mtu'madhiwa'

hahaha..tena anayejitahidi kupata picha ni mwanamama! Sijui anataka akammwonyshe mmewe?!
 
Aliyetafuniwa mke alijua location ya fumanizi angeenda na sweetee wa mme mwenza nyumba hiyo hiyo kisha baada ya dakika 90 watakuwa wamekwisha badilishana jezi. Hakuna haja ya kudhalilishana. Kusameheana au red cards kutafuata
 
Watu bwana!!Jamaa naona anajitaidi apate picha maeneo ya nyuma ya mfumaniwa hahaha!!! Mke wa mtu kweli sumu afu wenyewe wanasema mume wa mtu'madhiwa'

Labda jamaa ana maziwa maziwa huko down ndio jamaa anatafuta picha yake?
 
Sawa usemalo lina ukweli, lakn vitu vingine ni kuendekeza ujinga tu...(Sipendi kujisifia ujinga) mimi nimeshawahi tongozwa na wake za watu kama wa 4 hivi ving'ang'anizi haswa....ila nilishinda mitego yao, nimewapotezea na nina waogopa kama ukimwi, sitaki kabsa mazoea nao. Istoshe ilifika wakat nikawa nawakimbia....cz najua si busara na dhambi kwa Mungu. Mi napenda sana kutafuna papuchi lakn si za wake wa watu. Pia unakuta mwanamke mwingine anakwambia yuko single na pete kavua kidoleni...ukifuatiliwa unakuja ambiwa mke wa mtu...Noma sanaaa man. Lazma kua makini usije pelekwa machinjioni.

Tuki-share vivid example kama hizi zinaweza kuwatoa watu kwenye hili janga la fumanizi maana niliandika vile hata mie nili-experience na pia niliona ila wakati mwingine huwa tunachukulia simple kumbe hata hao wake wenyewe huwa wana facilitate process na mwisho wa siku hali inakuwa mbaya,all in all ni kuwaepuka kama ukoma aisee
 
Kila nikilala nasali nisije fumwa na mke wa mtu ,niwahi kumuona yeye kabla yangu ili nisepe
 
Niuzalilishaji utamtembezaje mwanaume mwenzako uchi wakati wanapeana raha uyo mwanamke si alikubali na wakati anajuwa ana mume uyo mwanaume aliyemtembeza mwenzake angekuwa uku atown ni shaba 2
 
Niuzalilishaji utamtembezaje mwanaume mwenzako uchi wakati wanapeana raha uyo mwanamke si alikubali na wakati anajuwa ana mume uyo mwanaume aliyemtembeza mwenzake angekuwa uku atown ni shaba 2
Kama ndiyo hivyo ilitakiwa na huyo mwanamke atembezwe uchi pia.
 
Pamoja na haya wake za watu wanaendelea kuwavulia chupi wasiokuwa waume zao

Tena kwa kujisifia!
 
Aibu ya kujitakia, kuna wanaume huwa wanona sifa kutembea na wake za watu tena hukaa na kujisifia siiku yakiwakuta kama ya huyo jamaa ndio watakoma.
Dunia hii utapata wapi Mke wa Nyani,pundamilia, sokwe,tumbili....?
 
Pamoja na haya wake za watu wanaendelea kuwavulia chupi wasiokuwa waume zao

Tena kwa kujisifia!
Well said mkuu. Inakuwaje mwanamke wa mtu akubali kutoa uroda, labda kama atabakwa hapo sawa.
 
Back
Top Bottom