Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Usiombe hili likukute ... acha kutembea na wake za watu.
View attachment 123358View attachment 123359View attachment 123360View attachment 123361View attachment 123362
Halafu hapa si kuwa mwanamke kamfanyzia huyu jamaa? Maana kuna minjemba vinanata wanawake kama nta sasa mke anampa tipu mume ili kumkomesha!!! Sijamuona mwanamke huyu katika tukio hili. Just thinking aloud!!