Utamu wa Mke wa Mtu ni balaa

Utamu wa Mke wa Mtu ni balaa

Mbona aliyefumaniwa amefungwa pingu? Ugoni kwetu si jinai bali ni madai tu....
 
Tatizo Watu wanamaliza sana mabucha ila nyama haibadiliki ladha
 
Tatizo Watu wanamaliza sana mabucha ila nyama haibadiliki ladha

Kakwambia nani! Nyama haiwezi kuwa sawa hata siku moja. Unaweza kuta bucha hili lina ngombe aliyenona lingine lina nyama inayoteleza!
Huo ni msemo tu.
Labda tujadili ni kwa nini wanaume/wanawake hupenda wake/waume za watu?
 
Huo nao unaweza ukawa mtazamo
 
Polisi walienda kumuokoa na kumtia pingu ili wampeleke kituoni kukwepa hasira za wananch
.View attachment 123740
Bwana Yesu akasema "na aliyemtakatifu awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanake huyu". Aliposema hivyo akainamisha uso wake chini akachora na hata alipoinua uso wake hakuwepo hata mtu mmoja.

Ndipo Yesu akamwambia yule mwanamke aliyefumaniwa umesamehewa enenda na usirudie dhambi tena.
 
Sasa wewe grafani11 umekaa standby PM na kitaulo chako unasubiri wake za watu wanaohitaji huduma ya kabang! subiri waume zao wakukute utaliwa hadharani mchana kweupeeeeeee! mie simo
Ndio maaana nimevaa taulo, mambo ni fasta fasta nasepa. Tena nahitaji hilo kumbatio lako (Hug) si la mchezo.
 
Back
Top Bottom