Utambulisho wa Selemani Mwalimu, Simba

Utambulisho wa Selemani Mwalimu, Simba

Kila siku nasema hapa mzee Mangungu na mzee Magori wafike mahali wajitathmini. Kwa umri wao ni wastaafu na mpira unataka unataka watu "active" kwa nini wasikae pembeni wawe washauri tu waache wakina Nkwabi wakimbizane na wakina Hersi. Sasa aibu yote hii kwenye bodi ya Simba yenye watu 12+ dhidi ya Hersi na Arafat.

Anyway nawashauri tena Simba kwa mara ya nyingine nendeni pale Coastal mkambebe Maabad Maabad au pale Dodoma Jiji mkambebe Edgar William maana hao walau ndio "local striker" ambao wanaweza kukupa anagalau goli kumi+ kwenye mashindano yote. Na si ajabu mwisho wa msimu idadi yao ya mabao ikalingana na Mwalimu au hata kumzidi.

Ni mtizamo tu
Ushauri wauchukue 😂, hii simba,, yetu macho na masikio
 
Hivi nikisema Billion 30 Mwamedi anaongopa unadhani huo ni utabiri au fact?

Kuna wapumbavu walisikiliza porojo za Magori wanadhani ana jeuribya kumsajili Feitoto bila kujiuliza nani wa kumlipa mshahara anaolipwa Azam?

Tajiri mchambaji kama Mwamedi maneno mengi vitendo sufuri kwanza awaeleze Simba zile pesa zilichangishwa kwa simu na Barbara za kujenga uwanja Bunju ziko wapi?

Mtakuha kumuelewa Mangungu baadaye sana, wengi wenu hamjui kama Mangungu ana exposure kubwa, nu muelewa wa mambo ni msafiri kitambo amecheza na watoti wa Kihindi nyumbani kwa Kisutu Libya street hawezi kudanganywa na mtoto mdogo kama Mwamedi kisa ana pesa za Familia.
Kuna nyuzi kibao tumefungua kueleza utapeliwa wa mo lakini utakuta mtu anajitoa ufahamu anakutukana. Kwa hichi walichofanya yanga kitawafumbua macho wengi waliokuwa hawaamini.
 
Back
Top Bottom