pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,382
- 4,763
Angesajiliwa nani kwa wachezaji wazawa?Afrika Gani unayoongelea?. Tz bana kuna wajinga wengi sana yaani mchezaji haijawahi kufungabhata 15+ awe na uzuri upi?.
Angesajiliwa nani kwa wachezaji wazawa?Afrika Gani unayoongelea?. Tz bana kuna wajinga wengi sana yaani mchezaji haijawahi kufungabhata 15+ awe na uzuri upi?.
Umelazimishwa kukubali..halafu jisemee wewe mwenyewe hatujakutuma kutujumuishaUtambulisho wa Selemani Mwalimu , kwa Simba yangu ni uhuni unaoendelea Simba , msituone sisi ni wajinga nyie viongozi majahili wa Simba
Acha kudandia mabehewa kwa mbele ..... Unaniuliza mimi naninasajiriwe kma nani?. Au hoja ilikuwa uzawa...Angesajiliwa nani kwa wachezaji wazawa?
Mkuu mbona makasiriko kulikoni hebu kunywa maji walau fundo tatu, halafu vuta pumzi kisha pumua utakaa sawa tu mkuu😂😂Utambulisho wa Selemani Mwalimu , kwa Simba yangu ni uhuni unaoendelea Simba , msituone sisi ni wajinga nyie viongozi majahili wa Simba
Wewe ndiyo mashabiki maandaziAcha kudandia mabehewa kwa mbele ..... Unaniuliza mimi naninasajiriwe kma nani?. Au hoja ilikuwa uzawa...
Hujasikia mnavyopumbazwa kwa namna alivyotambulishwa mpanzu?. BAADA YA KUKOSA CHOCHOTE KIPYA CHA KUWASHTUA MASHABIKI WAKAJA NA MBINU ZILE ZILE Ametambulishwa mpanzu kama vile alikuwa kwenye mjadala wa kugombaniwa sana na YANGA na timu zingine . Hatimaye simba wakashinda hiyo vita ya kumsajili mpanzu. Ni aibu.Utambulisho wa Selemani Mwalimu , kwa Simba yangu ni uhuni unaoendelea Simba , msituone sisi ni wajinga nyie viongozi majahili wa Simba
Wana simba hatutaki levo ya upumbavu wa kiasi hichi zaidi ya ubingwaHujasikia mnavyopumbazwa kwa namna alivyotambulishwa mpanzu?. BAADA YA KUKOSA CHOCHOTE KIPYA CHA KUWASHTUA MASHABIKI WAKAJA NA MBINU ZILE ZILE Ametambulishwa mpanzu kama vile alikuwa kwenye mjadala wa kugombaniwa sana na YANGA na timu zingine . Hatimaye simba wakashinda hiyo vita ya kumsajili mpanzu. Ni aibu.
Mo kama kawaida yake amekuja nae na mbinu zile zile anaweka mpunga wa ahadi zile zile. B30 atawadai wanasimba mkipiga kelele cha kumchomoa. Hakuna anaeshtukia hilo,wenyewe ni kushangilia tu.
HAPO NDIO UTAKUTANA NA UTOFAUTI WA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA.
Yote kwa yote Ahmed Ally anajua sana namna ya kuhadaa. Ni rahisi sana kuwakamata mashabiki kwa slogan zake
Hata wewe ungekua Ahmed ungetafuta mbinu ila kama una akili ndogo kuliko yeye basi ungefukuzwa mapema na zigo la nnya ungemwagiwa wewe.Hujasikia mnavyopumbazwa kwa namna alivyotambulishwa mpanzu?. BAADA YA KUKOSA CHOCHOTE KIPYA CHA KUWASHTUA MASHABIKI WAKAJA NA MBINU ZILE ZILE Ametambulishwa mpanzu kama vile alikuwa kwenye mjadala wa kugombaniwa sana na YANGA na timu zingine . Hatimaye simba wakashinda hiyo vita ya kumsajili mpanzu. Ni aibu.
Mo kama kawaida yake amekuja nae na mbinu zile zile anaweka mpunga wa ahadi zile zile. B30 atawadai wanasimba mkipiga kelele cha kumchomoa. Hakuna anaeshtukia hilo,wenyewe ni kushangilia tu.
HAPO NDIO UTAKUTANA NA UTOFAUTI WA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA.
Yote kwa yote Ahmed Ally anajua sana namna ya kuhadaa. Ni rahisi sana kuwakamata mashabiki kwa slogan zake
Yanga wanenda kubebea kwa mara ya 6. Simba shida iko kwenye uongozi. Kila mtu anajiona bigi.Kuna wajinga wataamini tutabeba ubingwa
Unachokonolewa ....you better watch ur back.Wewe ndiyo mashabiki maandazi
Unachokonolewa na baba yakoUnachokonolewa ....you better watch ur back.