Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Crescentius Magori, ametoa kauli yake baada ya mchezaji Selemani Mwalimu kutangazwa Yanga, akieleza kuwa jambo hilo halina uzito wowote wa kuilaza au kuishtua Simba.
Soma kuhusu Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya...
Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani.
Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu mchezaji wa Simba tumia nguvu hiyohiyo kuuomba radhi umma, wanachama na mashabiki wa Simba.
Sina mashaka kabisa na ninachokisema.Huyu aliyempa maelekezo msemaji wa Simba anapaswa kuondoka pale Simba mara moja.
Inaonekana ni mpango wa kuidhalilisha timu uliopangwa na upande wa pili na umeenda sawa sawia.
Mtu aliyempa uhakika Ahmed kwamba wamemalizana na Wydad kuhusu Seleman,huyu ndiye...
Uongozi wa Simba unaendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zimeanza kuibua maswali mazito miongoni mwa mashabiki wa klabu hiyo. Miongoni mwa maeneo yanayoonekana kuwa na changamoto kubwa ni namna uongozi unavyofanya maamuzi, mawasiliano ya ndani na utekelezaji wa mipango ya usajili...
Nimeshanganzwa na Usajili wa Selemani Mwalimu unaonesha mambo makuu mawili:
1. Uongozi mzima wa Simba hawafanyi vitu kiprofessional, huwezi kutambulisha mchezaji kwenye tamasha lenu kumbe ujamalizana na club na mchezaji kwa asimilia zote hii maana yake Nini? Mnafanya mashabiki wenu wasiwaamini...
Duchu ndio kusema alikuwa anawasubiri Loemba na Gomez ili tu...awasaidie goli Lao walilokuwa wameliplani walipokuwa pale nje....Goli walilokuwa wamelichora..!
Salute kwao goli La tatu ...Loemba ..Duchu ....Selee.!
SSC 3 - 0 TRA.
Dk 72..
Inasemekana kuwa Mwalimu amefeli kule Wydad.
Selemani Mwalimu anarudi kucheza Simba kutoka Wydad kwa visingizio vyepesi kabisa kama walivyorudi wengine kutoka Afrika ya waarabu. Waarabu hawawezi kuvumilia kumsubiria mchezaji mweusi asiyewapa matokeo ya leoleo uwanjani. Wanaweza kumvumilia...
Inakuaje yeye acheze kwenye timu yenye mpunga mrefu na ambayo ni rahisi kuonekana zaidi kwenye soko , halafu eti Feisal Salum na Kibu Denis wabaki kwenye ligi hii iliyojaa ubabaishaji.
Kwa mtazamo wangu ninaona Feisal Salum na Kibu Denis ni wachezaji wakubwa zaidi ya Selemani Mwalimu.
Hivi...
Pure Talent 🔥 Mechi Nane za Ligi Kuu kaweka magoli mengi kuliko mchezaji yeyote hadi sasa kwa Msimu huu 2024-25
Muendelezo wake mbele ni wa kiwango cha juu saana na ndiye anaongoza orodha ya Wafungaji Bora wa Ligi Kuu hadi sasa! Leo amekabidhiwa Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Tisa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.