Hivi nikisema Billion 30 Mwamedi anaongopa unadhani huo ni utabiri au fact?
Kuna wapumbavu walisikiliza porojo za Magori wanadhani ana jeuribya kumsajili Feitoto bila kujiuliza nani wa kumlipa mshahara anaolipwa Azam?
Tajiri mchambaji kama Mwamedi maneno mengi vitendo sufuri kwanza awaeleze Simba zile pesa zilichangishwa kwa simu na Barbara za kujenga uwanja Bunju ziko wapi?
Mtakuha kumuelewa Mangungu baadaye sana, wengi wenu hamjui kama Mangungu ana exposure kubwa, nu muelewa wa mambo ni msafiri kitambo amecheza na watoti wa Kihindi nyumbani kwa Kisutu Libya street hawezi kudanganywa na mtoto mdogo kama Mwamedi kisa ana pesa za Familia.