Utambulisho wa Selemani Mwalimu, Simba

Utambulisho wa Selemani Mwalimu, Simba

Kiherehere na kuropoka ropoka ni vitu kibaya sana maishani. Sasa yule askari wanyama pori wa kuchonga atawaeleza nini wanasimba? Hivi angesubiri huyo Mwalimu apande ndege akishafika Dar akasaini makaratasi halafu ndio atangaze angepungukiwa nini na wakati muda wa usajili ulikuwa bado sana?

Hivi kulikuwa na haraka gani ya video call. Kwa watu wenye akili na busara na hasa watoto wa mjini kile kitendo tu cha Yanga kusema wanamtaka Mwalimu halafu ikafuatiwa na Wydad kusema Mwalimu arudi kwanza Morocco ilikuwa ni wake up call aka machale maana wasiwasi ni akili. Lakini wapi bado wakawashwashwa na kutangaza tayari wamemsajili Mwalimu.

Kwenye masuala na mbinu za usajili pale Simba ni kama Hanspope (RIP) aliondoka na faili na code zote. Waliobaki hawajuia wafanye nini na kibaya zaidi mzee wangu Magori anataka kuwaonyesha watu kuwa amevivaa viatu vya Hanspope (RIP) wakati hawezi.

Kila siku nasema kitendo cha kuwatenga baadhi ya watu pale Simba na wachache kujifanya wao ndio wao wanaojua na kuweza kufanya kila kitu hizi shoti hazitaisha. Na kingine aliye karibu na MO amshtue kuwa achukue hatua kuwaunganisha viongozi wote wa sasa na wazamani hata wale waliokuwa wanaopinga uwekezaji wake. Vinginevyo ataendela kupoteza pesa na heshima yake. Ajiulize tu katika hii miaka mitano Simba imekosaje ubingwa hata mara noja wakati kuna miaka miwili hapo kati ya hiyo mitano Yanga ilisuasua lakini bado wakabeba ubingwa. Ifike mahali afanye maamuzi yeye kama yeye asiwasikilize hao chawa wake hasa huyo chawa wake mkuu ambaye kila mtu anamjua.
 
Chezaji la mkopo , viongozi wa Simba wanapaswa wajiuzulu takataka kabisa
Screenshot_2026-08-11_130056.jpg
 
Back
Top Bottom