Hatimaye Sulemani Mwalimu amasajiliwa na vyura 😂😂.Seleman Mwalimu
Inno Loemba
Neo Maema
Hawa hawakupaswa kubaki simba, wamgetupisha.
Mkuu, nimeumia lakini najifariji tu!Mkuu wamepata mchezaji mzuri
Kingine ni kwamba Sulemani Mwalimu ni mtanzania. Ukiwa na mchezaji wa kitanzania mwenye kalimba ya Mwalimu tayari ni faida.Selemani mwalimu ana instinct ya striker , ukipata walishaji wazuri anatupia mno, simba hawakuwepo zaidi ya wakimbiaji hovyo tu
Ni mbaya sana kuwahakikishia watu kitu ambacho huna uhakika nacho.Sis tuna lile chezaji shaumbuliaji lenye miguu kama ya twiga , sijui tumeliokotea wapi🚮
Dah! Washenzi ni washenzi tu.Niliona ule upumbavu, niliishia pale nikazima na simu , nikaendelea na pombe zangu
Dah ulijuaje kuwa tunafanyiwa usanii na uhuni...Umeshaongea muda
View attachment 3648057