Utambulisho; faily law | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utambulisho; faily law

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by FAMILY LAW, Jul 15, 2012.

 1. F

  FAMILY LAW Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wadau..mimi nimekua mgeni kwa mda mrf bila kua na account ila kwa sasa nimeamua kua mdau naombeni malezi yenu na ninapokosea mnikosoe na sio kunitukana kwa kua watu wengine ni wakali sana...shukrani,.. smile ,preta, mwali ni majina niliyoyakariri mda mrf sana.
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,319
  Likes Received: 2,287
  Trophy Points: 280
  1. Hivi kwenu hakuna wazee..hebu tupe salamu inayotustahiki.
  2. Halafu umeingiaje MMU kabla hujaripoti kwangu?
  3. ID Yako ya awali ilikuwa inaitwaje vile
  4. Mwisho wewe ni ke au me
   
 3. F

  FAMILY LAW Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PLATOZOOM shikamoo japo hata mimi ni mkubwa ninakaribia 30. sijawahi kua na ID humu..mimi ni ke
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  karib mamito! lakin kuna jukwaa la utambulisho. . . ungeanzia kule kwanza!
   
 5. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ndiyo ushaingia hivyo, so endelea kujichanganya.... hope to see you around sana
   
 6. F

  FAMILY LAW Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  charminglady ckujua na mambo ya ugeni yanasumbua bt nashukuru kwa kunikaribisha.
   
 7. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kwa umri wako inafaa usamehewe kwa kuingia moja kwa moja chumbani tena cha baba na mama bila kubisha hodi...haya rudi kaanze kuleee halafu ndo taratibu utaelekezwa utaonana na Preta pale kila kitu atakuelekeza:israel:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. F

  FAMILY LAW Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VINCI utakua unanionea sana..nataman kujibu mojakwa moja ktk comment yako ila bado najifunza bahati nzr nimezaliwa na kukulia kijijin ambako hakuna haya mambo
   
 9. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,319
  Likes Received: 2,287
  Trophy Points: 280
  Uliposema wewe ni ke basi nimekusamehe...halafu huna haja ya kunipa shikamoo watoto kama nyie mnahitaji kupewa fursa...........Karibu sana FAMILY LAW eehh
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. F

  FAMILY LAW Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BADILI TABIA bado cjakaguliwa ngoja nikareport kwa Erickb52
   
 12. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  hehehehe ukipata tatizo ni pm tu, mi msaidizi wa
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  i see...
  Karipoti upesi sana....
  Ukimkosa Erickb52 muone Kaizer atakukagua fasta......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...