Utamaduni Wetu Unavyotufunga Kisiasa

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
11,090
Reaction score
21,995
Katika kuangalia hali ya kisiasa inavyo kwenda sasa, kuna kitu kimoja ambacho wabongo wengi kama hatukioni ila ndo msingi mama wa haya yote na ndo maana hii nchi tumeshikwa kama mburula.

Ni kuwa, watanzania(wamatumbi) culture na tabia zetu ambazo ziko ndani yetu zinatufunga. We've no common ground... Hakuna kitu "moja" ndani ya hii nchi.

Kwanza cheki katika level ya familia...

Kibongbongo hakuna umoja, Nakuhakikishia kuwa wengi hapa ukiwauliza unawaamini ndugu zako?

Utaskia ndugu ndo wachawi wangu, wanasubiri noanguke wanicheke! Au "ndugu sio wa kumwamini" it's like we've no trust from an original unit...

Je, unategemea we can afford to stand for this country?

Tunajidanganya tu, wengi wanakuja na propaganda mtandaoni ya kusapoti Lissu but truly it's wanakuwa fantasized na mechi ya kisiasa tu na nothing they are willing to do..

Unajua ni kwa nini hii nchi inamachawa na wanakubakika? Kwa sababu tumejokuta unafikiri na maisha ya kusubiri mwenzako adondoke huku ukimlamba kisogo imekuwa normalized.

Angalia media zinavyokimbiza kwenye umbea na unafikiri. No real genuine people kwenye hili li nchi.
Wamatumbi ni wajinga tu, that's it..

There's no point ya haya yote, Lissu hawezi kushinda, ataandikwa kwenye kumbukumbu tubalijitoa kwa ajili ya taifa, but these people wanawajulia watanzania na watatumia weak points zile zile kuwin over.

Chimbuko la haya yote ni mbongo wa kawaida hana self values. Wengi wanaishi kama parasite, hata makazini nikuongeleana majungu tu, watu wanaishi kwa kufanyiana fitna tu.

Ukianza kufatilia ukweli unaonekana mjuaji, kichomi, unajipendekeza kwa boss, yaani we don't even need to think about liberation kama sisi wenyewe hatuna self dignity ya kuwa na values zenye manufaa kwa ngazi ya familia.

Ain't no change, today or in the near future.

Angalia Mbowe now anaambatana na yule yule aliye muimprison mwenyekiti wake! That's a form of abuse and betrayal kwa wanachadema. Especially as for now Lissu is on the battle.

Je, what were the motives? Kujionesha kuwa chama anakivuruga or what? Unarudi kule kule we don't trust one another. Na hiyo ndo weak point adui anakwenda kuitumia as always.

Mtaletewa simba na yanga, mtafanywa kuwa addicted kwa drama ili mwendelee kusahau ya kuwa decisions zinazo endelea kufanya sio bomu kwenu tu, bali ni kwa vizazi vijavyo.

Je, kuna kitu naweza kufanya? Au unaweza kufanya?

Upande wangu, honestly siwezi. Siwezi kutoa uhai wangu for the mess created by the previous generation(not alone ever)

Nimeona niandike asubuhi before my thought pattern zichafuliwe na constant distractions.

In peace and light

de Gunner
 
Unachoongea ni sahihi ,wabongo tunapenda sana ushabiki ,halafu mtu akipotea wanamsahau .. Lissu angejali afya yake kwanza ,akatoka then akaendeleza mapambano...Kuna sehemu jamaa wanamshabikia kama wanamponza .

Kulikuwa na machawa wa Magufuli ,kaondoka na wao hawapo tena ...Maisha ya bongo ni ushabiki ,mbaya ukizungukwa na watu wanakusifia hata kama unapotea ,ukishapotea ndipo utaelewa ulikuwa unadanganywa na machawa.
 
Ndo kitu ambacho wabongo hupenda,
Kumpa mtu matumaini ilihali wanajua kabisa, ya kuwa it isn't worth it.

Kunafikiana kwingi
 
Upo Sahihi mkuu Tanganyika is corrupted! Muda utatupa majibu. Taita alikuwa anamsemo wake "we need to reform vunja vunja mpaka foundation Tuanze upya!
#vunja vunja will do.. 😂 Ila tuseme with the existing mindset hatutoboi for sure
 
We need to ask the right questions.. Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa.

Nothing changes when the foundation is still the same
You are absolutely right, my concern is we all know the nature of our countries(Africa). After your brainstorming and deep analysis of our setback(s), then come up with suitable solutions
 
Ccm imeiharibu sana hii nchi.
Hakika na tunaona kawaida tu but this thing goes way deep. Hakuna misingi bora ya uongozi, katiba imekaa kinyonyaji,

Unashangaa mpaka siasa na serekali linaingia hadi kwenye vilabu na dini.. Tunaingizwa matango pori na sisi unakubali tu
 
You are absolutely right, my concern is we all know the nature of our countries(Africa). After your brainstorming and deep analysis of our setback(s), then come up with suitable solutions
Solution requires deep understanding

Making a common ground foundation as a society ad then rising together..

Tukipata katiba huenda ikasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…