Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,487
- 2,422
Haya sema sorryOgopa mwanamke mwenye mdomo unaoropoka kila dakika tena awapo amelewa na kujifanya anajitoa ufahamu....
Na kuongea shit..Kaa mbali naye, na ukimkosea wewe mwambie sorry, hata akiomba kitu na hauna mwambie sorry, akikukebehi pia mwambie I am sorry