Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,230
Ha ha haa,kabisaJibu halali kwa swali husika
Ha ha haa,kabisaJibu halali kwa swali husika
Poa momNgoja nisome best maana nimeona umeniita nikaja fasta sasa ngoja nipande juu kuusoma uzi
In short watuacheeHawa lengo lao tujione hatuna Thamani kabisa lakini ni Kwamba tuna thamani sana Kwa wanaume wetu na tunapendwa na tunahudumiwa sana tu
Sawa love akeOoh kumbe sawa dear
Huyo demu kavuu sana.Nimempatia elfu tano ya kitanzania, analalamika. Wakati amekunywa na kula na mzigo sijapiga .
Huyo demu kavuu sana.
Hivi mtu anakusisitizaje usitumke kinga.
Ulimwengu wa sasa.
Ana magonjwa na anaaambukiza watu makusudi
Mimi kabla sijaolewa......kama tutaenda kavu tumepima hadi homa ya manjano hahahahaWanawake wengi condom hawazipendi.
Mwanaume usipovaa condom tu . Usitegemee mwanamke atakukumbusha uvae.. wanawake wanaona kavu kavu tamu na wanasahau kuna magonjwa hatari kibao
Tafuna tangawizi mbichi kipande changanya na punje mbili za kitunguu swaumu au tatu, then kunywa maji mengi...kadiri utakavyokua unakojoa ndio UTI itasepa...utafanya hivyo asubuhi na jioni.Jamani UTI inanitesa Sana
Ogopa mwanaume anayetumia maneno makali Hata pasipomuhusu kama huyu mpuuzi!Malaya ni Malaya tu, gari la taka hubeba taka huwezi kuta gari la taka limebeba vito vya thamani ogopa sana ila watu wabishi kuambiwa hawasikii, na ukampiga peku peku au ulitumia ndomu? Alikua hanuki k kweli?
Maana huwa wanatoa uvundo sio wa kawaida, we kila mwanaume akuvujie majasho yake na akumwague shahawa zake ndani unategemea utakua unanukanuka vipi huko shimoni?
Chemsha mizizi ya mpapai kunywa maji yake.Jamani UTI inanitesa Sana
😂😂😂 Mpuuzi yupi huyo mkuu? Emu fafanua kakufanyaje huyo mpuuzi? 🤣Ogopa mwanaume anayetumia maneno makali Hata pasipomuhusu kama huyu mpuuzi!
AsanteChemsha mizizi ya mpapai kunywa maji yake.
Ogopa mwanamke mwenye mdomo unaoropoka kila dakika tena awapo amelewa na kujifanya anajitoa ufahamu....Ogopa mwanaume anayetumia maneno makali Hata pasipomuhusu kama huyu mpuuzi!
Weweeee ....ukipakwa asali na parachichi mwili mzimA alafu ukalambwa lambwa mwili wote utakua unakua tu na hiyo condom hutakumbuka..🤣🤣..wanaume ndo tunafanya tutumie ama kavuUna maneno makali kwake,mi mwenyewe bora uniue kwa nyundo nzito lakin condom hunilii aisee......mkipendana wawili wekeni taratibu ya kupima afya
unapenda uusikie moto wenyewe sio uwekwe kwenye mfukoSiuzi ...namaanisha ukishakuwa kwenye mahusiano na MTU wekeni taratibu za kupima afya.....mi binafsi mpira siuwezi
Na hiyo mafuta ni ya nini eroo...!!!
Na mbegu nizipokee zisipotee bureunapenda uusikie moto wenyewe sio uwekwe kwenye mfuko
Kwahiyo mmegeuka paka sikuhizi mnalamba maparachichi....acheni hizo bas mnatesa koo kupokea vitu vya ajabuWeweeee ....ukipakwa asali na parachichi mwili mzimA alafu ukalambwa lambwa mwili wote utakua unakua tu na hiyo condom hutakumbuka..🤣🤣..wanaume ndo tunafanya tutumie ama kavu
Mimba 🙄Na mbegu nizipokee zisipotee bure