Ni KIbaha maili moja
Anaepajua hapo kama ni Dar., anielekeze nna begi langu limeharibika zipu.

Hatutengenezi ya watu kama wewe, we njoo tukupe begi lingine tu
bila shaka ni duka la mchaga hilo...
Mangi shop ni balaa hahahaaa, hadi ugoro?Welcome to Mangi shop.
Tunauza askrimu, unga, spea za magari, viroba, rozari, petrol, juisi, mboga mboga, grisi, sigara, keki, misumari, ubuyu, maziwa, ugoro, nyama choma, nguo, mafuta ya taa,......................................
Hahaaa uswazi kuna vituko..sasa hayo yote yanafanywa na mtu mmoja..?[/QUOTE]
Tena under one roof!
Hahaa hongera zake..
Welcome to Mangi shop.