Utakatishaji fedha(Money laundering): Dhana iliyojificha kwa wengi!

Fedha zinakuwaga na vyanzo mbali mbali. Fedha halali kwa malipo haramu, fedha haramu kwa malipo halali na fedha haramu kwa malipo haramu!

Mara nyingi kuna kundi la watu wanaopata fedha haramu na wangetaka kuitumia fedha hiyo kufanya malipo halali. Sasa hiyo fedha kwa kuwa ni nyingi inabidi iingizwe kwenye mzunguko wa fedha halali. Ili kuwezesha fedha hiyo iingie kwenye mzunguko wa fedha inabidi ihalalishwe, zoezi la kuihalalisha linajulikana kama kutakatisha fedha...

Fedha inayotakatishwa kwenye soko la ndani kwa matumizi ya ndani halina changamoto sana. Shida inakuja pale, labda wewe ulifanikiwa kutorosha pembe za tembo hapa Tanzania na kuziuza Uchina, sasa wale Wachina wakakulipa wewe pesa taslim milioni mia nne, utaziletaje hapa nchini?

Ni lazima uzitakatishe, mfano unaweza ukamtumia mfanya biashara mkubwa anayenunua mizigo China, ukamfanyia malipo kule, labda yeye kanunua mzigo wa bilioni moja, atalipa milioni mia sita through bank transfer, na wewe utalipa milini mia nne cash kwa mmiliki wa kiwanda. Kwa hiyo mzigo utakuja wa bilioni moja, japo nyie mta understate zile nyaraka kuonesha kuwa mali ni ya milioni mia sita.

So baada ya mali kufika hapa, yule mfanya biashara atakupa wewe milioni mia nne zako ambazo ulimlipia kule uchina. Na baada ya hapo wewe unaweza kuitumia pesa yako hapa nchini kama malipo halali.

Kwa hiyo hapo, huyo mfanya biashara, na wale wenye kiwanda waliopokea malipo pamoja na wewe nyote mtakuwa mmehusika katika zoezi la utakatishaji wa fedha...
Safi umenifungua macho
 
Ni kuingiza Ela iliyopatikana kwe biashara haramu kwe mzunguko halali.. Mfano Ela ya madawa MTU anenda Nunua nyumba mbezi beach kupangisha

Kutofautisha ni mzunguko mzima...mfano Leo uje na million 50 unapeleka banki lazima ijulikane chanzo ama sivyo Ela hiyo hutoweza itoa....
ooh
ok
 
NAONGEZEA HAPA.

Kutakatisha Fedha.
Kupata Pesa Kwa Njia Haramu Na Kuziingiza Kwny Mzunguko Halali.

MFANO.
Umepata Pesa Kwny Madawa Ya Kulevya Kisha Ukafungua Bar.
Kitendo Kinakamilika Pale Unapoiingiza Ile Pesa Kwny Mzunguko Halali, Kama Haijaingia Huko Hiyo Sio Utakatishaji Ni Kesi Nyingine Tu.

Manase hapo ni kweli? ebu fanya kautafiti kadogo!
 
Awam ya 5 KUTAKATISHA PESA NDO KUMEONGEZEKA SANA AU NI MAKOSA YA SIKU ZA NYUMA?
 
Goodrich,

Acha uwongo.

Soma hii;

How to Clean Paper Money
Unfortunately, there is really no good way to clean paper money. You can try soap and water, but it doesn't do much to penetrate the surface of the bill. You can always run your paper money through the washing machine in your pants pocket, and then let it air dry.

Other than that, just keep your money in your wallet and out of the dirt. And if you have a really gross dollar bill you don't want to look at anymore, you can spend it and pawn it off on someone else or trade it in for a crisp new one at the bank.

How to Clean Coins:
There are basically two ways you can go about cleaning your (not valuable) coins. You can wash them and/or you can dip them. If you want to simply wash the coins, these are the supplies you'll need:
  • Dish soap (the kind for hand-washing)
  • A rag or dish towel
  • Tap water and/or distilled water
  • A Small bowl
I concentrated on it like Im gazing at coolest stufff
 
Je jambazi akipola pesa sehemu na kwenda kununua nyumba,ametakatisha?
 
Amani iwe kwenu wanajamii forum .
Kuna msamiati umeingizwa katika kesi ya kuhujumu uchumi.Msamieti huo ni UTAKATISHAJI WA FEDHA .Jamani naomba kujua maana ya huo msamiati
 
Back
Top Bottom