Utakatishaji fedha(Money laundering): Dhana iliyojificha kwa wengi!

Kesi hizi kwa sasa zinatumika kisiasa, kwa sababu hazina dhamana.

Kwa hiyo mtu (serikali I should say) wakitaka kukupoteza wanakufungulia kesi ya kutakatisha fedha, au wanakutishia hilo.

Ni jambo baya sana. Kwa sababu wananchi wanashindwa kujua nani ni muhalifu, na nani kafunguliwa jesi kisiasa tu.
sorry hv uhujumu uchumi maana ake nn?
 
wanakuwaga na makaratasi fulani hivi yamekatwa kama hela hivi mara nyingi ni kwenye us dollars so wanachokifanya ni kuzisafisha kwa kutumia kemikali maalumu then itakuwa pesa kabisa na watu wengi wametajirika sana .
hi biashara ni haramu na ni zaidi ya kuhujumu uchumi usijaribu
Better u quite
 
Back
Top Bottom